Kwa hiyo functions za hiyo app ni nini? Au maalum kwa michango?Ongeeni na Tundu Lissu ikiwezekana ianzishwe Tundu Lissu App, hii itakuwa njia nzuri ya watu kumchangia chochote kila mwisho wa wiki au wa mwezi. Watu wenye smart phones ni wengi sana ambao wanaweza ku download apps.
Wale wasioweza watumie M pesa na Tigo pesa. Wengine kama my mother in law wanaamini kwenda bank na ku deposit pesa. Wapewe accout.
Mheshimiwa tuko na wewe.
Tunawasiliana na family yake yote hayo yanakujaOngeeni na Tundu Lissu ikiwezekana ianzishwe Tundu Lissu App, hii itakuwa njia nzuri ya watu kumchangia chochote kila mwisho wa wiki au wa mwezi. Watu wenye smart phones ni wengi sana ambao wanaweza ku download apps.
Wale wasioweza watumie M pesa na Tigo pesa. Wengine kama my mother in law wanaamini kwenda bank na ku deposit pesa. Wapewe accout.
Mheshimiwa tuko na wewe.
Kwa hiyo functions za hiyo app ni nini? Au maalum kwa michango?
Hii kali.
He means a lot to many of us. Tutafarijika kusoma habari kutoka kwake direct kila siku.itakua nzuri mdada,tena atakua anaweka updates,watu wana comment,...updates sio lazima iwe kwa afya yake tu bali na msimamo yake juu ya yanayoendelea nchini
Kwa siku au kwa wiki au kwa mwezi atakuwa amaweka hizo updates?itakua nzuri mdada,tena atakua anaweka updates,watu wana comment,...updates sio lazima iwe kwa afya yake tu bali na msimamo yake juu ya yanayoendelea nchini
Wazo zuri ila utekelezaji wake kwa wanasiasa sio kitu rahisi.Itakua ni Lissu...ila kwa vile anarepresent chama chake,then itakua ni kama chama chake online.
The main purpose of the app ni michango.Kwa siku au kwa wiki au kwa mwezi atakuwa amaweka hizo updates?
Hapa atapata watu wachache sana. Aendelee tu kutumia mitandao mingine ya kijamii kuhamasisha michango, wazo zuri but VOID.
Kwa siku au kwa wiki au kwa mwezi atakuwa amaweka hizo updates?
Hapa atapata watu wachache sana. Aendelee tu kutumia mitandao mingine ya kijamii kuhamasisha michango, wazo zuri but VOID.
Wazo zuri ila utekelezaji wake kwa wanasiasa sio kitu rahisi.
Why not using mobile phone numbers registered with his details specifically for financial contribution? How many people would be willing to chip in but dont have access to smartphones? Are they ready to marginalize them?The main purpose of the app ni michango.
I have suggested others opinions on my first post mkuu.Why not using mobile phone numbers registered with his details specifically for financial contribution? How many people would be willing to chip in but dont have access to smartphones? Are they ready to marginalize them?
He is a public figure all these are possible to him now.Ingewezekana ni jambo zuri, ikishindikana sio mbaya akawa na verified pages kwenye social network
Sent using Jamii Forums mobile app