Tundu Lissu apambana dakika 125

Tundu Lissu apambana dakika 125

Tundu Lissu juzi nilimsikiliza kidogo nikaona kichefu-chefu kwa ujinga wake aliokuwa anaudhihirisha nikaacha kumsikiliza.

Alikuwa amma hajui hata kutofautisha "State of Emergency" na "Disaster" au alikuwa anafanya makusudi kupotosha ili atimize mada yake ya kupinga tu hata pasipopingika.

Akanichafua roho na jisauti la kuiga wachungaji wa viwanja vya Jangwani, nikamuona ni punguani mwengine anahororoja na kubwabwaja bila mpango, nikasepa.

Hahahahah mmemuita hawa ghasia aka faizafox huyo sasa kaja yeye sijuzote umezeshwa tu ajaona point lissu aliyoiongea
 
Lissu ni zaidi ya Zitto 10000

Maelezo yako tu yaonyesha umeumia sana zzk kuondoka cdm, maana unavyomtaja hata kwenye mada hata zisizo muhusu, inaonekana unamuwaza sana.
 
Heri mwenyeheri na mtu mwema mmoja kuliko kundi kubwa la WAJINGA KAMA wabunge wa SSIEM
 
Tundu Lisu .ni mgonjwa wa akili wa kudumu pale Mirembe Dodoma

Kwenye jambo la kitaifa achana na uchama ndugu! Taifa linahitaji akina Lissu zaidi ya maelfu ili kuweka misingi imara ya kisheria katika nchi yetu. Kama ajira yako iko Lumumba ni zaidi ya utumwa bora ukalime kuliko kufungwa mnyororo
 
'Lissu akiwa na uhakika wa jambo na akiona halieleweki vizuri kwa wabunge basi anao uwezo wa kukesha akisoma na kutafuta njia ya kuwaelimisha wenzake. Anajenga hoja vizuri.' Hon. Lukuvi
Siku hiyo Lissu alikesha mpaka asubuhi kuandaa hoja za nguvu alizowasilisha bungeni.Mungu azidi kumbariki mtu huyu nuhimu sana Tanzania.
 
Tundu Lissu juzi nilimsikiliza kidogo nikaona kichefu-chefu kwa ujinga wake aliokuwa anaudhihirisha nikaacha kumsikiliza.

Alikuwa amma hajui hata kutofautisha "State of Emergency" na "Disaster" au alikuwa anafanya makusudi kupotosha ili atimize mada yake ya kupinga tu hata pasipopingika.

Akanichafua roho na jisauti la kuiga wachungaji wa viwanja vya Jangwani, nikamuona ni punguani mwengine anahororoja na kubwabwaja bila mpango, nikasepa.

Ni kawaida yako,toka lini ukamsifia..? Kama yeye ni punguani basi wewe ni punguani zaidi.Ungekuwa mwerevu usingesumbuka kumsikiliza hata kidogo kama ulivyofanya na wala usingesumbuka kuja kuchangia uzi unaomzungumzia punguani.Shame on you.!
 
Penye ukweli uwongo hujitenga,hivi mtu akitetea hoja za msingi kuna mambo ya chama kweli,pole mpinga hoja huna maana kabisa leta hoja ondoa ushamba na chama chako mnaokumbatia maovu,shida yenu ni mwanya wa ulaji tu .Angalia Marekani chama kikifanya madudu kinawekwa kando na kingine kinashika madaraka
Unaweza kutuambia hoja ya msingi aliyokuwa anaitetea? Unajua sera z CDM? Nani anasimamia disaster sasa hivi Tanzania?
 
Lisu ni Full Battalion ... Mjadala wa ESCROW ulishika kasi baada ya lisu kutoa historia fupi ya IPTL ...
 
Tundu Lissu juzi nilimsikiliza kidogo nikaona kichefu-chefu kwa ujinga wake aliokuwa anaudhihirisha nikaacha kumsikiliza.

Alikuwa amma hajui hata kutofautisha "State of Emergency" na "Disaster" au alikuwa anafanya makusudi kupotosha ili atimize mada yake ya kupinga tu hata pasipopingika.

Akanichafua roho na jisauti la kuiga wachungaji wa viwanja vya Jangwani, nikamuona ni punguani mwengine anahororoja na kubwabwaja bila mpango, nikasepa.
Basi kama huwezi kumsikiliza Tindu sema ubamsikilizaga nani.Ukiwa CCm unapoteza uwez wa kufikiri , unakuwa dead wood
 
Ni kawaida yako,toka lini ukamsifia..? Kama yeye ni punguani basi wewe ni punguani zaidi.Ungekuwa mwerevu usingesumbuka kumsikiliza hata kidogo kama ulivyofanya na wala usingesumbuka kuja kuchangia uzi unaomzungumzia punguani.Shame on you.!

Nilimsifu sana pale aliposema ukweli kuhusu Nyerere na alipotumia kitabu kilichoandika na Dr. Ghassan na msaidizi Mohamed Said BMK kuonesha uovu wa Nyerere, mkasema kamtukana, umesahau? au ulikuwa bado hujaijuwa JF?

Kama ulikuwa bado kuijua JF jaribu kutumia search feature ya JF utazipata hizo habari.
 
Last edited by a moderator:
Basi kama huwezi kumsikiliza Tindu sema ubamsikilizaga nani.Ukiwa CCm unapoteza uwez wa kufikiri , unakuwa dead wood

Wewe toka 2007 mpaka leo hujuwi kuandika vizuri? unanchekesha!

Halafu mnalaumu shule za kata? wewe hata darsa za JF hazijaweza kukubadili kwa miaka 9 sasa. Unanshangaza!

Ujinga ni "Gene-imprint".
 
Nilimsifu sana pale aliposema ukweli kuhusu Nyerere na alipotumia kitabu kilichoandika na Dr. Ghassan na msaidizi Mohamed Said BMK kuonesha uovu wa Nyerere, mkasema kamtukana, umesahau? au ulikuwa bado hujaijuwa JF?

Kama ulikuwa bado kuijua JF jaribu kutumia search feature ya JF utazipata hizo habari.

toka akuchezeshe mziki wa tango umebaki kumuwaza tu Mohamed Said!

It takes two to tango! Faiza @ MS make a complete match. KUDOS
 
Last edited by a moderator:
toka akuchezeshe mziki wa tango umebaki kumuwaza tu Mohamed Said!

It takes two to tango! Faiza @ MS make a complete match. KUDOS

Ya tundu Lissu yamekushinda kujibu? na umeuona ukweli na alikinyanyua kitabu juu akasema yako humu na akataja ananukuu kutoka kitabu kipi, jee unakikumbuka "title" yake?
 
Back
Top Bottom