Tundu Lissu apambana dakika 125

Tundu Lissu apambana dakika 125

Tutafutieni video clip ya mjadala huo iwekwe hapa kuweka kumbukumbu kwa ajili ya baadae
 
'Lissu akiwa na uhakika wa jambo na akiona halieleweki vizuri kwa wabunge basi anao uwezo wa kukesha akisoma na kutafuta njia ya kuwaelimisha wenzake. Anajenga hoja vizuri.' Hon. Lukuvi
 
Tunakuombea kura kwa wanachi wa singida waendelee kukuamini na uchaguzi ujao ushinde kwa kishindo.wee ni lulu ya taifa
 
Jamaa Lissu yuko vizuri sana, sio mtu wa kukariri madesa tu but kipaji anacho cha kuchanganua mambo ya sheria. He is my hero
 
Lisu hawezi zuia serikali kufanya yake. Lisu hawezi mzuia AG kunywa maji, kwanza mwenye mamlaka ya kutafsiri na kutoa maelekezo ya kusheria na katiba kwa ujumla ni Mahakama na AGC, Lisu akatafsir katiba ya chadema. Tupa kule. Na bado changa la macho la october linaandaliwa. Wataisoma namba.
Wewe utakuwa unaumwa ugonjwa wa akili. Hata spika wako anamkubali, kwenye ukweli tuwe wakweli. Sio kila kitu ukibali hata kama aliyepewa nafasi hio anapotosha. Mambo ya ndio mzee hayana nafasi.
 
Lissu ni next level ma ccm hayamuwezi hata akiwa pekeyake yenyewe bunge zima yaani
 
Tundu Lisu .ni mgonjwa wa akili wa kudumu pale Mirembe Dodoma
 
Penye ukweli uwongo hujitenga,hivi mtu akitetea hoja za msingi kuna mambo ya chama kweli,pole mpinga hoja huna maana kabisa leta hoja ondoa ushamba na chama chako mnaokumbatia maovu,shida yenu ni mwanya wa ulaji tu .Angalia Marekani chama kikifanya madudu kinawekwa kando na kingine kinashika madaraka
 
Wewe naona kuna kitu kinakusukuma ila ukweli unabakia palepale kuwa lisu ni kutoka dunia nyingine na huwezi kumlinganisha na yuda eskarioti zzk

Akili ya zito ni zaidi ya tundu lisu mara 10000
 
Tundu Lissu juzi nilimsikiliza kidogo nikaona kichefu-chefu kwa ujinga wake aliokuwa anaudhihirisha nikaacha kumsikiliza.

Alikuwa amma hajui hata kutofautisha "State of Emergency" na "Disaster" au alikuwa anafanya makusudi kupotosha ili atimize mada yake ya kupinga tu hata pasipopingika.

Akanichafua roho na jisauti la kuiga wachungaji wa viwanja vya Jangwani, nikamuona ni punguani mwengine anahororoja na kubwabwaja bila mpango, nikasepa.
 
Wewe utakuwa unaumwa ugonjwa wa akili. Hata spika wako anamkubali, kwenye ukweli tuwe wakweli. Sio kila kitu ukibali hata kama aliyepewa nafasi hio anapotosha. Mambo ya ndio mzee hayana nafasi.

Wewe utakua chadema tu ambayo ishapoteza dira, kumbuka Lissu anaumwa kichaa na jina lake lipo mirembe pale.
 
Haitakugharimu kutumia lugha nzuri ya kistaarabu na kuondoa maneno ujinga,pumbuwani.Sote huku tuna Imani zetu na hakuna hata imani moja yenye kuruhusu lugha chafu...tumuogope ALLAH na tuelimishane yaliyo mazuri.
 
lisu ni zaid hakuna kama lisu baado sijaona kaza mwendo kamanda lisu rais wetu 2025
 
Tundu Lissu juzi nilimsikiliza kidogo nikaona kichefu-chefu kwa ujinga wake aliokuwa anaudhihirisha nikaacha kumsikiliza.

Alikuwa amma hajui hata kutofautisha "State of Emergency" na "Disaster" au alikuwa anafanya makusudi kupotosha ili atimize mada yake ya kupinga tu hata pasipopingika.

Akanichafua roho na jisauti la kuiga wachungaji wa viwanja vya Jangwani, nikamuona ni punguani mwengine anahororoja na kubwabwaja bila mpango, nikasepa.

ulisikia kichefuchefu kwa sababu una mimba bibi sio lissu
 
ulisikia kichefuchefu kwa sababu una mimba bibi sio lissu

Saa hizi tena? labda utokee muujiza kutoka kwa Mwenyeezi Mungu.

AlhamduliLllah I had my share ya mimbas na si mimba tu.
 
Back
Top Bottom