Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,593
- 2,380
Story of my lifeNimefuatilia mazungumzo kati ya Tundu lissu(MP) na diaspora kutoka Washington DC(USA) kwamba anawajua waliompiga risasi siku ya Sept 7 eneo la Area D jijini Dodoma.
Anasema anawajua kwa majina na watatajwa akiwa hai au amekufa.
Kwa maoni yangu juu ya hili ni kwamba siku ya tukio dereva pamoja na tundu lissu (MP) waliwaona kwa macho yao wote waliohusika katika tukio lile kwa hiyo ni kiasi cha muda tu mambo yote yatakua hadharani.
Nini maoni yako juu ya taarifa hii kujulikana kwa majina yao wahusika waliofanya kitendo hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala umefitinika. Sio wote wako behind Jiwe.Nimefuatilia mazungumzo kati ya Tundu lissu(MP) na diaspora kutoka Washington DC(USA) kwamba anawajua waliompiga risasi siku ya Sept 7 eneo la Area D jijini Dodoma.
Anasema anawajua kwa majina na watatajwa akiwa hai au amekufa.
Kwa maoni yangu juu ya hili ni kwamba siku ya tukio dereva pamoja na tundu lissu (MP) waliwaona kwa macho yao wote waliohusika katika tukio lile kwa hiyo ni kiasi cha muda tu mambo yote yatakua hadharani.
Nini maoni yako juu ya taarifa hii kujulikana kwa majina yao wahusika waliofanya kitendo hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
na huenda jamaa amepewa taarifa nyingi na vielelezo visivyo na shaka huenda hata mkanda wa video wa tukio alishapewaUtawala umefitinika. Sio wote wako behind Jiwe.
Hizo habari zinatoka huko huko ndani.
kutaja majina ni rahisi ila kuwa na uhakika wa ushiriki wao ni jambo jingine linalohitaji ushahidi usio na shaka yeyote
Kuna watu wasiopendezwa na ushetani wa jiwe wamempa ushahidi wote subiri utaona mambo yanaenda kwa mpangilio sio kukurupuka tu na kutaja ,vidio anayo kabisa time will tell .na huenda jamaa amepewa taarifa nyingi na vielelezo visivyo na shaka huenda hata mkanda wa video wa tukio alishapewa
Nina wasiwasi hata cctv camera anayo copy, anawachora tu polisi wanaotaka arudi nyumbani ahojiwe.Kuna watu wasiopendezwa na ushetani wa jiwe wamempa ushahidi wote subiri utaona mambo yanaenda kwa mpangilio sio kukurupuka tu na kutaja ,vidio anayo kabisa time will tell .
Mene Mene Tekele Na PeresiUtawala umefitinika. Sio wote wako behind Jiwe.
Hizo habari zinatoka huko huko ndani.
Huwezi kutoa conclusion ya hivyo please kama umesoma criminal law!, evidence law and the like! eems you are far away in legal reasoning! May be ana other source of reliable information!Kwa maoni yangu juu ya hili ni kwamba siku ya tukio dereva pamoja na tundu lissu (MP) waliwaona kwa macho yao wote waliohusika katika tukio lile kwa hiyo ni kiasi cha muda tu mambo yote yatakua hadharani.
Hata ningekuwa Mimi nisinge wataja ningesubiri muda sahihi na salama nikiwa na evidence zilizo na shaka, Mimi nilikuwa tangu mwanzo kwamba aliwaona na inawezekana wakati wanawafuatilia hayo magari wawili walichukua video ndiyo maana dereva naye wameondoka naye.