Tundu lissu anawajua kwa majina waliofanya shambulizi September

Two dimension array

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,593
2,380
Nimefuatilia mazungumzo kati ya Tundu lissu(MP) na diaspora kutoka Washington DC(USA) kwamba anawajua waliompiga risasi siku ya Sept 7 eneo la Area D jijini Dodoma.

Anasema anawajua kwa majina na watatajwa akiwa hai au amekufa.

Kwa maoni yangu juu ya hili ni kwamba siku ya tukio dereva pamoja na tundu lissu (MP) waliwaona kwa macho yao wote waliohusika katika tukio lile kwa hiyo ni kiasi cha muda tu mambo yote yatakua hadharani.

Nini maoni yako juu ya taarifa hii kujulikana kwa majina yao wahusika waliofanya kitendo hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story of my life
 
Utawala umefitinika. Sio wote wako behind Jiwe.
Hizo habari zinatoka huko huko ndani.
 
kutaja majina ni rahisi ila kuwa na uhakika wa ushiriki wao ni jambo jingine linalohitaji ushahidi usio na shaka yeyote
 
Ndugu Sidhani kama hizi habari zina ukweli. Si yeye na chadema wangeshaziweka hadharani kitambo kabisa.

Kama hizi habari zina ukweli, basi hiyo ni kawaida yao na uongo uleule kama wa Arusha, eti tunayo video , mpaka leo haionekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na huenda jamaa amepewa taarifa nyingi na vielelezo visivyo na shaka huenda hata mkanda wa video wa tukio alishapewa
Kuna watu wasiopendezwa na ushetani wa jiwe wamempa ushahidi wote subiri utaona mambo yanaenda kwa mpangilio sio kukurupuka tu na kutaja ,vidio anayo kabisa time will tell .
 
Nina wasiwasi hata cctv camera anayo copy, anawachora tu polisi wanaotaka arudi nyumbani ahojiwe.
 
Mmh.....

Hawa jamaa waliopanga kumwua Tundu Lissu hivi sasa wanajuta kujiingiza kwenye "mission" hiyo ambayo imefeli

Wanatamani dunia ijifunue ili wajitumbukize iwafukie!
 
Kwa maoni yangu juu ya hili ni kwamba siku ya tukio dereva pamoja na tundu lissu (MP) waliwaona kwa macho yao wote waliohusika katika tukio lile kwa hiyo ni kiasi cha muda tu mambo yote yatakua hadharani.
Huwezi kutoa conclusion ya hivyo please kama umesoma criminal law!, evidence law and the like! eems you are far away in legal reasoning! May be ana other source of reliable information!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom