Tundu Lissu anadhani Nchi kama chumba chake cha kulala huko ulaya, Wazungu walishakupuuza haujistukii tu wala kujiongeza

IMF wameshampongeza mzee Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya unapoeleza ujinga wako wanakuona mwehu.

World Bank tayari wametembelea miradi mbalimbali ya ujenzi unaoendelea Tanzania wa Reli ya kisasa na bwawa la mwalimu Nyerere.

Ukija huku Tanzania utaiona mpya tuna mfugale Flyover, Ubungo interchange, Bwawa kubwa LA umeme

Unazidiwa na Zito kabwe ambaye amebweka Mara mbili tu angalau tumeona impact yake japo ni hasi

Ni mwaka ss unarudia hayo hayo lakini hakuna mabadiliko yoyote misaada inazidi kumiminika kila kukicha

Wakiamua kukuweka katikati utawekwa katikati na hao unaowatukuza tukiamua ulichowaahidi sisi tutawapa kwa sababu tunacho tayari ili tu tukuweke katikati

Ogopa sana mkuu wa Nchi kama Marekani anapoandikiwa ujumbe na Rais wa nchi kama Tanzania

Kwa Taarifa yako Makampuni Makubwa mawili ya USA kumalizia ujenzi wa Reli ya kati kutoka Makutupora Isaka then Isaka Mwanza

Serikali ya Tanzania na Marekani muda si mrefu kutiliana mkataba wa Ujenzi wa LNG
Tunajua mnaweza kuiuza ili mbaki madarakani na ndivyo mnavyofanya siku ila mwisho wenu umefika
 
nenda na wewe wakupuuzeko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza porojo
Mada tatutatu za nini!
Imewagusa?
Dunia haiko likizo sababu ya corona shughuli zinaendelea
Umesikia Senator huko kasemaje mtafute macho gololi atakusimulia!

Huyo seneta ni sawa na mbwa coco tu, kidogokidogo tutaelewana tu wacha tuonyeshane makari Dr shika voice😂😂😂😂😂
 
Punguza porojo
Mada tatutatu za nini!
Imewagusa?
Dunia haiko likizo sababu ya corona shughuli zinaendelea
Umesikia Senator huko kasemaje mtafute macho gololi atakusimulia!

Huyo seneta kama ana jeuri aende south korea akutane na korona kim akiri imrudie.
 
Kigezo cha uwazi katika taifa hutegemea ni jinsi gani uhuru wa kutoa na kupokea Habari ukoje. Ni vigumu kusema ufisadi hamna kama hivi vyombo vmeminywa kufanya kaz zake. Mi naamini yaweza kuwa awamu hii watu wachache wanavuna hela nyingi kuliko nyakat zozote..rejea ripot ya CAG na Lugola na wenzake..tumeambiwa walikua wanachonga dili..Sasa utasemaje ufisadi haupo? Toa uhuru wa Habari uone kinachotokea..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
JF ipo huru. Hakuna anayetubana huku - Tuache visingizio
Mwaga data hapa tuzichambue Gwakikolo!
 
Back
Top Bottom