Tundu Lissu ana Schizophrenia!

Ni hali yake ya Kikatiba kutoa maoni yake.
 
Hoja za kipuuzi sana
-Nikuulize mtoa thread hivi yule mchina aliyepata B ya Kiswahili kwenye matokeo ya kidato cha NNE na kuwapita maelfu ya wanafunzi watanzania wazawa alikua "native speaker" au....!!?
Umahiri wa lugha fulani hautegemei sehemu uliyozaliwa unaweza kuzaliwa na kukulia Tanzania lakini uwezo wako kwamfano wa lugha ya Kiingereza ukawa mkubwa kuliko Mwiingereza mwenyewe.
 


Lkn mtu ambaye siyo native speaker hawezi kusema wengine hawajui hiyo lugha, na ndiyo maana kuna baadhi ya kazi ni lazima uwe native speaker ndiyo uipate kuna sababu kwa nini iko hivyo, isitoshe Mtu mwenye akili hawezi kusema kwamba Majaji wa Tanzania hawajui Kiingereza ili hali wamesomea Chuo alichosomea yeye, wamefanya Mitihani aliyofanya yeye na hata walifaulu zaidi klk yeye, sasa anatumia kigezo gani kama siyo Ugonjwa wa Akili ni nini?

Tundu Lisu leo hii akitaka kwenda kusoma au hata kufanya kazi kama Mwanasheria USA watamtaka afanye TOEFL, unajua ni kwa nini? TOEFL ni Test of English Language as a Foreign Language, lkn mtu aliyezaliwa Uingereza, Kanada, Australia, New Zealand hafanyi Toefl, unajua ni kwanini? Ni kwa sababu wanajua kwamba hajui Kiingereza, ni rahisi kihivyo tu!
 
Mbona vipanga wengi wana uwezekano wa kuwa na schizophrenia hata kwa asilimia ndogo. Sidhani kama ni ishu but it depends kama unajitambua au la.
 
We ni dokta? Onesha vipimo vya lab, la sivyo imeandika uharo tu kakojoe ulale
 
Can yo define na explain what is schizophrenia
 
Wewe hata ungezaliwa kuwait ni yale yale sasa umeongea nn?
 
Kama wewe ndo kinyume cha Lissu, basi kinyume cha hayo uloyasema ndo kweli!
 
[QUOTE="Barbarosa, post: 21437572, member: 284899 amezaliwa na kukulia Singida?
[/B]
Namaanisha mtu ambaye siyo native speaker wa Lugha x anawezaje kusema wenzake ambao wote wana Elimu sawa siajabu hata wamemzidi kwamba hawaijui hiyo Lugha x ilihal matatizo kichwani, ...


[/B][/QUOTE] sasa wewe dada yangu Barbarosa kati ya wewe team buku 7 mliyeiuza hii nchi kwa,mikataba yenu uchwara,mliyekula rambi rambi na tundu lissu na mgonjwa???Au unahasira ya kukosa uteuzi wa RC Kilimanjaro
 
Sasa hivi hapo Lumumba mtu ukianzisha mada ya mumsimanga Lissu unalipwa double yani 14K per thread ya kumshambulia Tundu Lissu.

Ndiyo maana mwenyekiti wa CCM amekosa mwanaccm anayetosha kuwa mkuu wa mkoa wa klm hadi akabadili gia angani.
Jibu mubashara kabisa..
Nimependezwa nalo.
Lumumba wamejaa mabashite tu
 
This is rubbish,ni takataka in lissu's voice
Umeandika upupu,
Hizi pumba pelekea kuku aisee sisi humu humu ni binadamu
 
Hatudanganyiki nyie ccm acha usenge
 
Kwa hiyo tufanyeje sasa? Naona mchanga wa dhahabu umewaingia CCM kichwani
 

Bora lissu ana shirzophenia kuliko mpiga push ups jukwaani Mwenye amnesia
 
Wewe umezaliwa na kukulia mkoa gani? Unatoa povu mtu wa singida kujua lugha ya malkia?
 
Research ni nini? I hope haujakariri.

Na vipi wasomi kama Prof Muhongo, wao wanaashiria nini?
Mada inamhusu Lissu, kumzungumzia Prof. Mhongo itakuwa nje ya mada na umbea. Tujadili hoja husika. Lazima kuwe na parameters za mjadala flani. Hatuwezi kujadili kila kitu bila mpangilio. Kwa kukujibu research ni utafiti/tafiti. Utafiti ni kulitambua tatizo flani kisha kukichunguza hicho kitu kwa kuanza kukusanya taarifa za hicho kitu, kuzichakata, na kuzipembua kisha zinakupatia majibu na/au taarifa sahihi za tatizo lako kwa njia za kisayansi. Sijui kwako research ni nini? Sasa tukijerejea hoja ya Lissu kuita tafiti ya wanasayansi ni takataka (rubish) bila kufanya tafiti yake yenye kuleta majibu tofauti na yale ya tafiti ya wenzie inababidi wenye akili timamu tujiulize hivi kweli huyu mzima? Au anatafuta umaarufu tu au haeshimu taaluma za watu au anajiona mjuaji wa kuliko wote ktk fani yeyote? Sasa wewe usie kalili tupe maana ya research.
 
Hizi ni hoja mufulisi, jaji alietajwa na lissu kuwa alipewa ujaji huku akiwa hana digrii ya sheria kwa sasa kaisoma tena Open university, kuanzia tuhuma zile interview ya ujaji kwa sasa infanyanyika hasa kupima kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…