Rejao anabisha. Na hana sababu.
nazi inaongoza nchi, matikiti maji yanaongoza wizara. Bisha!!
sina cha kubisha hapa. Kila mtu anaweza kumrate mtu the way anavyotaka. Hiyo rating ni mpya machoni kwangu, siwezi kuipinga!!
weka basi avatar linginesina cha kubisha hapa. Kila mtu anaweza kumrate mtu the way anavyotaka. Hiyo rating ni mpya machoni kwangu, siwezi kuipinga!!
Abdulhalim: Jina lako linasadifu ulichochangia!A++ ya bunge ambalo halina sababu yoyote ya ku-exists. Very funny.
Waldhai ntoto wapendeza, kila nkiona chapisho lako mimate yanjaa n'domoni..nionee huruma mwendhio.sina cha kubisha hapa. Kila mtu anaweza kumrate mtu the way anavyotaka. Hiyo rating ni mpya machoni kwangu, siwezi kuipinga!!
Wanajf naona mbunge wetu lisu anaendelea kuwaburuza wabunge wote wa bunge la tanzania.
Nimesukumwa na hoja ya kwamba ana uwezo wa kusimamia anachokisema(hateteleki),jana amenifurahisha sana pale alipokuwa ananukuu baba wa taifa kuwamaliza mafisadi jairo na wenzake.
Hivyo naaaamua kumpa A++ ya kazi nzuri
JE KUNA ANAYEBISHA???????KAMA WABISHA TOA SABABU
A++ ya bunge ambalo halina sababu yoyote ya ku-exists. Very funny.