Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Heshima wakuu!
Biblia inasema au uwe moto au uwe baridi! Ukiwa wa vuguvugu utatemwa. Unawezaje kumsifia baba wa taifa bara halafu pwani ukambagaza?
Bara, unaongelea miradi iliyoanzishwa na baba wa taifa, unaongelea umoja wa kitaifa aliouacha, unaongelea maono yake juu ya demokrasia, haki na utu wa mtu. Bara unamsifu!
Zanzibar unasema alimtisha Karume kuingia kwenye Muungano, Zanzibari unamuongelea kama Gaidi!
Lissu siasa zipo na maisha yanaendelea. Usimtumie baba wa taifa kinafiki. Isisome kitabu chake vizuri bara na Zanzibari umuandikie kitabu chako cha kashfa.
Binafsi nafikiri mwalimu angeachwa apumzike kwa amani. Tusimpe shida, amesaidia taifa akiwa hai na bado tunataka arudi kama mzimu ajitetee na kutusaidia.
Lissu au unampenda na kumheshimu mwalimu au unataka kura bila kujali gharama!