Tundu Lissu akiwa Ikungulyabashashi

Tundu Lissu akiwa Ikungulyabashashi

Mtu kwao, raha zaidi ana vinasaba vya kutosha sio vya kutafuta kwa tochi kali.
 
Kuhusu Kiswahili usijali watasimuliana. ..

Sijui kwanini Lissu kabadili upepo wa mambo kiasi hiki... zama kama hizi kwa upinzani ingekuwa ni ngumu sana kupata watu hata kumi hapo bariadi...
 
Kwani wadhamini wanapatikanaje?!

Ni baada ya kuongea ndio wanajitokeza au wanaandaliwa na chama husika kabla mgombea hajapita?!

Na wananapomdhamini wana mdhamini nini hasa?!
 
Nyani Ngabu

..hizo nyimbo hapo chini ni za nyumbani?

..inafurahisha kwamba kuna matumaini ya kuwa na kampeni zenye USHINDANI.

..raha ya uchaguzi ni kutokuwa na uhakika wa matokeo.

..sijui kwanini wabongo wanapenda na kushabikia kupita bila kupingwa.

Sisi bure CCM wamekuwa wapole kama vile wamepigwa ganzi.
 
Wale jamaa waliomshambulia Lissu sasa hivi watakuwa wanajuta sana, umaarufu wa Lissu umeongezeka kwa 1000%
 
Nyani Ngabu

..hizo nyimbo hapo chini ni za nyumbani?

..inafurahisha kwamba kuna matumaini ya kuwa na kampeni zenye USHINDANI.

..raha ya uchaguzi ni kutokuwa na uhakika wa matokeo.

..sijui kwanini wabongo wanapenda na kushabikia kupita bila kupingwa.

Kupita bila kupingwa ni uhuni, ni uhujumu kwa demokrasia, mgombea anaenguliwa kwa sababu hajaweka coma kwe sentensi moja alipo jaza fomu. Badala ya kumuita arekebishe wao humwondoa kabisa!
 
Dah!

Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa.

Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani.

Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi!
Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.

Mbona tumemuelewa sana! Tumempatia na jina la kishujaa, Tundu Lissu aka 'Kimila masasi'
 
Kweli CHADEMA ni wapenda amani, humo katikati kuna watu wamevaa nguo za kijani lakini hakuna tatizo lolote, najaribu kufikiria endapo katikati ya wana CCM kungekuwa na mtu aliyevaa nguo yenye rangi za CHADEMA nini kingempata.
 
Dah!

Leo Mheshimiwa Lissu alikuwa nyumbani kabisa.

Ningekuwepo town ningemkaribisha Matobholwa pale nyumbani.

Ila hawa Wanyantuzu sidhani hata kama walikuwa wanamwelewa Lissu maana Kiswahili hawajuagi!
Hapo naona walikuwa wanaitikia tu.

Halafu utamsikia Ohhh CCM inapenda kutawala wajinga walioelimika Jimbo lake ambako kakaa mbunge miaka mingi hawajui kusoma Wala kuandika na hata kiswahili hawajui. Kashindwa kuwasaidia walau hata wajue kiswahil na kuwahamasisha waende kusoma shule za bure za serikali walau wajue hata kiswahil subiri CCM tutaenda Huko atatukoma
 
Lissu kwao simiyu?
 
Back
Top Bottom