Msikilize anatumia hali yake kutapeli - sikiliza mpangilio wake wa kitapeli wajinga ndio waliwao! Nilijua kuwa itaishia hivyo kutapeli.Makubwa haya huyu Lissu anawataka Wafadhili wasitupe misaada wakati huo huo na yeye anaomba Msaada? Hii ni tabia ya UBINAFSI.
Pathetic!!!!!
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.
Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!
Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu
Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unajua matibu ya ulaya? Gharama zake? Yule nurse tu anae ku care kwa mwezi mshahara wake 2500-3000 eur, kwa mwezi malipo ya hospital si chini ya euro 5000 na miaka mi ngapi sasa?amepewa 250 mil.matibabu ya msaada bure.malazi bure.usafiri bure ila bado anaombaomba
Siku wasanii wakiomba msaada wewe ndiyo wakwanza kutoa Yanga inaomba ichangiwe na yenyewe ni aibu?Aibu sana hii na pia video baada ya kuvuja amejisikia vibaya sana kwa taarifa za mtu wa Karibu na hapa ndo ajue sio wote wanaompigia makofi manake wanampenda
Pole sana kwa njaa na huenda ukalala Nje kwa kufukuzwa kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwamba relax kias tuliza hasiraSiku wasanii wakiomba msaada wewe ndiyo wakwanza kutoa Yanga inaomba ichangiwe na yenyewe ni aibu?
Ninyi kuzuia mshahara wake ndiyo mnampiga chura mateke Lissu ataaaidiwa kwa hali na mali maana mlitaka afe
Hakuna mtu omba omba kama mwenyekiti wenu miaka 3 tuu deni zaidi ya 20tr wakati anaomba kura alisema nchi tajiri hataomba
MSAGA SUMU
USSR
LIKUD
Duh, aisee. Kwani da'Mange ameacha kumchangishia michango?Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.
Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!
Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu
Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Joni alisema sisi ni dona kantileMakubwa haya huyu Lissu anawataka Wafadhili wasitupe misaada wakati huo huo na yeye anaomba Msaada? Hii ni tabia ya UBINAFSI.
Pathetic!!!!!