hopaje
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 1,726
- 1,218
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipas Lissu ameitwa kituo cha Polisi saa 5 kuhojiwa kutoka na kauli yake aliyoitoa jana baada ya kutoka Mahakamani Kisutu.
Mahojiano ya Tundu Lissu baada ya kutoka Kisutu jana
Kauli ya Lissu:
Mahojiano ya Tundu Lissu baada ya kutoka Kisutu jana
Kauli ya Lissu:
Wakubwa habari za asubuhi. Haya kumekucha na mapolisi wa Magufuli tena. Nimepigiwa simu na Zonal Crimes Officer DSM kuitwa kwenye mahojiano juu ya kauli yangu ya jana Kisutu. Nitaenda saa tano asubuhi hii. Karibuni kwa mara nyingine tena for a roller coaster ride.
Tundu Lissu.
Tundu Lissu.