Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
acha kukurupuka, fanya utafiti kabla ya kupost chochote humu badala ya kuomba "habari zaidi!" Hakuna uchaguzi uliofanyika Novemba "31," 2010 kwa kuwa tarehe hiyo haipo!
Asante sana kwa maelezo yako...Aliyeweka thread hajakurupuka ni ulimi kuteleza tu akasema novemba badala ya octoba. Pili unaposema afanye chunguzi kabla kuandika unakosea, yeye alikua hana uhakika ndio maana akaandika tetesi. Tusiwe tuna challenge kila kitu ili tuonekane sisi tunajua sana. Tetesi haiitaji kufanyiwa uchunguzi kiasi unachotaka wewe vinginevyo neno tetesi halina maana. Hongera lissu.
hongera sana TUNDU LISSU!!
acha kukurupuka, fanya utafiti kabla ya kupost chochote humu badala ya kuomba "habari zaidi!" Hakuna uchaguzi uliofanyika Novemba "31," 2010 kwa kuwa tarehe hiyo haipo!
aliyeweka thread hajakurupuka ni ulimi kuteleza tu akasema novemba badala ya octoba. Pili unaposema afanye chunguzi kabla kuandika unakosea, yeye alikua hana uhakika ndio maana akaandika tetesi. Tusiwe tuna challenge kila kitu ili tuonekane sisi tunajua sana. Tetesi haiitaji kufanyiwa uchunguzi kiasi unachotaka wewe vinginevyo neno tetesi halina maana. Hongera lissu.
Na wewe si ufanye utafiti kabla ya kuhukumu? Kama umemuelewa ndio maana amesema Mwenye habari kamili juu ya hilo atujuze kwa mapana zaidi Haya Crashwise ametupa habari kamili sasa unajisikiaje?acha kukurupuka, fanya utafiti kabla ya kupost chochote humu badala ya kuomba "habari zaidi!" Hakuna uchaguzi uliofanyika Novemba "31," 2010 kwa kuwa tarehe hiyo haipo!
wengine ndio kwanza tunasikia toka kwako, mengi tunangoja kutoka huko huko kwako
Aliyeweka thread hajakurupuka ni ulimi kuteleza tu akasema novemba badala ya octoba. Pili unaposema afanye chunguzi kabla kuandika unakosea, yeye alikua hana uhakika ndio maana akaandika tetesi. Tusiwe tuna challenge kila kitu ili tuonekane sisi tunajua sana. Tetesi haiitaji kufanyiwa uchunguzi kiasi unachotaka wewe vinginevyo neno tetesi halina maana. Hongera lissu.
Mbona Judi hunijibu lakini, pse naomba baby.
Hiki kichwa hata rais anakiogopa na bado hakijaanza kazi.hureee lissu