Sasa hivi anatumia huo muda wake kwa ajiri ya nani? Au hapo anaongelea Mambo yanayoihusu nchi gani?Mm s mwanapolitics Bali nawaambia ukweli muombe mungu akupe ujasiri na kusimamia jambo unalolielewa
Toka 92 mwerevu hajajua jinsi ya kudili na mjinga mwenye silaha? Hapa nafikiri mjinga ndiye mwenye akili na maarifa.Mjinga akishika silaha unategemea nini wa mwerevu?
yeye hana desturi ya kuliwa 071 ,kama wewe, baba yako na dada yako, wanavoliwa na slow slow!Unaonaje mkuu kama angekuoa?
Mkuu kwenye JD ya mbunge hakuna sehemu inakipengele Cha kuitetea serikali,kazi za bunge ambalo linaundwa na wabunge ni 1.kutunga Sheria na 2.kuishauri na kuisimamia serikali.Sasa Kama bunge letu limeacha majukumu yake na Sasa linaitetea serikali basi umasikini wetu ni ama wa kujitakia au kweli sisi watanzania akili hatuna kabisaUlitaka wabunge wa chama kinachounda serikali wasiitetee serikali? Unataka wabunge wa sisiemu waitetee chadema?
Same way ukiombwa na huyu unayemfanyia kazi,si utampa tu au?Kuna watu lissu akiwaomba mzigo wanatoa bila was tu
Lisuu the president 2020Kuna watu lissu akiwaomba mzigo wanatoa bila was tu
Toka 92 mwerevu hajajua jinsi ya kudili na mjinga mwenye silaha? Hapa nafikiri mjinga ndiye mwenye akili na maarifa.
Dume LA mbegu halishadidii ujingaaaSame way ukiombwa na huyu unayemfanyia kazi,si utampa tu au?
Nitatoka huku niliko had tz kwa miguuuLisuu the president 2020
Wawatetee wananchi walipa kodi na taifa kwa ujumla na sio kuutetea ufisadi unaofanywa na chama chao na wanachama wao!Ulitaka wabunge wa chama kinachounda serikali wasiitetee serikali? Unataka wabunge wa sisiemu waitetee chadema?
Kuna watu lissu akiwaomba mzigo wanatoa bila was tu
Mlivotaka kumuua mlijua wananchi wataishi VIP!Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Hivi chadema wana slogan ya taifa kwanza?Wawatetee wananchi walipa kodi na taifa kwa ujumla na sio kuutetea ufisadi unaofanywa na chama chao na wanachama wao!
Hivi huko ccm hakuna slogan ya taifa kwanza? Kama hakuna mtajitofaurishaje na kikundi cha maharamia wa kodi za wananchi?
AoKamongo mkubwa wewe!Hawa wabunge waliopo wamefanya lipi la.maana zaidi ya kuisafisha serikali thidi ya ripoti ya CAG?
Hii ni kashfa tena mbaya kwa vyombo vya dola! Waonaje ukiviita dhaifu? Ina maana cdm waba serikali yao isiyoguswa na serikali ya wanyonge? Ni kwanini kila tukio gumu mnaihusisha cdm huku mkikosa ushahidi wa kuwashtaki? Basi cdm ilitakiwa iwe inaongoza dola kwani dola inaiogopa sana!Hakuna wasiojulikana mzee ukwel wote anaujua lisu na dereva wake ningemuona wamaana angerudi tz tuone atafanyajwe alete hoja za msingi kwa sis tunaoelewa lisu kuna kitu anajua na tena akisemà baadhi ya top layer yote ya chadem watakimbia kusadikika country
Mpaka Leo unasubiri Mbunge akutumikie?Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Sisiemu wanafanya ambacho chadema wangefanya.Mkuu kwenye JD ya mbunge hakuna sehemu inakipengele Cha kuitetea serikali,kazi za bunge ambalo linaundwa na wabunge ni 1.kutunga Sheria na 2.kuishauri na kuisimamia serikali.Sasa Kama bunge letu limeacha majukumu yake na Sasa linaitetea serikali basi umasikini wetu ni ama wa kujitakia au kweli sisi watanzania akili hatuna kabisa
Kule Zitto na SeifLazima wapoteane huku Lissu, kule CAG na kunajingine linakuja