Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #41
ukatili nimbaya sanaHata kama yeye hatapata fursa ya kujilipizia kisasi ila kuna siku kisasi kitalipwa tu. Sio kwa ukatili ule! Yaani ni lazima kilipwe kwa haka kwa kizazi cha mastermind wa ile kitu. Lazima.