Tundu Lissu aeleza Afya yake kwa sasa

Tundu Lissu aeleza Afya yake kwa sasa

Hakika pengo Lako lipo uje ulizibe Inshalah
 
km ni kweli anayoyaongea kuwa ni watu fulani walimfanyia ivi na anawajua, na ameshindwa kuwafanya kitu mpk leo

basi akirudi lazima atakuwa mtu mpya, na km kweli alikuwa anatumika am sure but hawezi kubali kutumika tena

na km alikuwa anajituma hawezi kujituma tena

get well soon Kamanda Tunu’s Lissu
 
Hakuna cha kutibiwa wala nini...YUPO KWENYE PROJECT MAALUMU HUKO UBELIGIJI YA KUJA KUTUSUMBUA NCHINI
 
Back
Top Bottom