Tundu Lissu aeleza Afya yake kwa sasa

Tundu Lissu aeleza Afya yake kwa sasa

Ajivue kama Nyalandu kweni Chadema ni baba yake.
 
Akijifanya kukomaa lazima kitu kiingie kwenye boksi.
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akihojiwa na Redio France International kuhusu hali ya maendeleo ya matibabu na hali ya afya yake kwa sasa.
Tundu ni Hazina ya Taifa wadhalimu hawatapenda habari hizi kamwe.


Mungu bado yypo na sisi wapenda mema.
 
Siasa sio jambo baya ndugu zangu watanzania ili siasa za usaliti hakuna nchi ambayo inazivumilia.
 
Hata kama yeye hatapata fursa ya kujilipizia kisasi ila kuna siku kisasi kitalipwa tu. Sio kwa ukatili ule! Yaani ni lazima kilipwe kwa haka kwa kizazi cha mastermind wa ile kitu. Lazima.
 
Hakuna cha kutibiwa wala nini...YUPO KWENYE PROJECT MAALUMU HUKO UBELIGIJI YA KUJA KUTUSUMBUA NCHINI
Kumbe mnamuogopa!....dawa ni kufuata katiba ya nchi na kuheshimu utawala wa sheria. OVA
 
Back
Top Bottom