Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aache kuzungumzia masuala ya kupigwa risasi kila Mkutano

Kama adui yake akiomba msamaha, naunga mkono amsamehe! Lakini kama unataka TAL afukie kichwa kwenye mchanga kama mbuni, ajidai kusahau, Wewe sahau! Pia mkiona risasi zinampa Lisu kiki sana, mfyatulieni mgombea wenu moja tu na yeye apate kiki!
 
Huyo jamaaaa, asipotumia hiyokiki ya alioigiza ili ije impe promo kwenye uchaguzi huuu na kuwalagai chama chake wamuhurimie agombeee yeye eti kisa anamuujiza, inje yahapo kichani kwa masuala ya kujenga hoja ya kisiasa yuko empty kichwaniii.

Sasa yeye kuchakutwa ni kutushuhudia miujiza, lakini pamoja na umahili wa sheria alionao hatujawahi onatukio lake lile analipereka mahakamani atasikumojaa.
Huu ushuhuda lazima autumie kila kona ilikuutengenezea kiki ya kuhurumiwa kupewa uraisiii.
Kumbe nawewe ni mpumbavu.
 
Inaonekana umekaririshwa na hufuatilii kampaini. Nkushauri ufuatilie kampaini ujue kinachoongelewa kuliko kukariri tu
 
Kama anawafahamu, kwa nini hajaenda kuwaripotishaa nahakamani?
Mbona anjibatiza ni mubobezi wa siasa na sheria?
Anakwama wapikuwapeleka mahakamani kama anawafahamu?
Hiii kiki imeshabumaaaaa
Kwani Rais anashtakiwa?haujui hata katiba mbovu iliyowekwa na CCM.!
Muuaji alietaka kumuua ni Magufuli,
Magufuli ashtakiwi kwa mujibu wa katiba yenu mbovu.
 
Kuna watu bado Wana takiwa wajuwe CCM ndio ili mpiga risasi wa jinga Sana ninyi
HAPANA waliompiga RISASI Lissu ni CHADEMA, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa KUGOMBEA UENYEKITI ndani ya CHADEMA; si unakumbuka za Chacha Wangwe au ulikuwa hujajiingiza kwenye siasa za CHADEMA?
 
Mwache awe anasema kwani sasa vyombo vya Habari vimezuiwa kuandika kurudha Habari za chadema ni bora kusema majukwaani ili kila Mtanzania ajue machungu ya kunusurika kuuawa
 
Kwani Rais anashtakiwa?haujui hata katiba mbovu iliyowekwa na CCM.!
Muuaji alietaka kumuua ni Magufuli,
Magufuli ashtakiwi kwa mujibu wa katiba yenu mbovu.
Chadema wakiingia madarakani watamuondolea kinga zote kama serikali ya Malawi walivyofanya sasa kwa Rais aliyepita licha ya katiba kuitaka kinga iwepo
 
napendekeza TL asiache kuwaeleza wananchi masahibu yaliyompata kila apatapo kajinafasi...nimegundua hili linawauma sana mataga.

huko vijijini ndio iwe lazima, watz hatupendi ukatili tutampa kura za huruma!.
Aendelee kusema kila kona hata akiwa hotelini kote aseme ili watanzania wote wawajue kuwa ccm ya sasa imejaa watu wenye roho mbaya
 
HAPANA waliompiga RISASI Lissu ni CHADEMA, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa KUGOMBEA UENYEKITI ndani ya CHADEMA; si unakumbuka za Chacha Wangwe au ulikuwa hujajiingiza kwenye siasa za CHADEMA?
Kapime ubongo wako kama bado unafanya kazi!
 
Si lazima umsikilize, ukimsikiliza wako na sera zake za ajira mil 8 inatosha
 
Acha aseme wananchi wajue wapigaji ni akina nani?!

Hutaki aongelee kwanini, wewe ccm nini, maana hao ndio wanaumizwa na maongezi ya Lisu.

Na kama ccm hawapendi kuyasikia yanamuhaibisha mgombea wao na serikali, waache kuonea watu.
 
Aendelee kusema kila kona hata akiwa hotelini kote aseme ili watanzania wote wawajue kuwa ccm ya sasa imejaa watu wenye roho mbaya
Sawa ila roho mbaya ya CHADEMA ya "kuhujumu" viongozi wao wa ngazi za juu kama akina Chacha ataisema nani?
 
Hebu jaribu kuvaa viatu vya Tindu Lissu. Wewe ungeweza?
Mimi huwa nashangaa sana haya maCCM yanaposema kuwa Tundu Lissu aache kuzungumzia mambo ya kupigwa risasi. Hivi nyie mnaona jmabo la kawaida eeh? Yaani mtu kupigwa risasi 16 halafu ukapona! Naona yule mwovu aliyetuma watu kumpiga risasi kinamwuuma akisikia Lissu anazungumzia tukio hilo.Hebu fikiria ungekuwa wewe - upigwe risasi, unyimwe matibabu, unyan'ganywe ubunge!. Siyo jambo dogo. Lissu nakuambia hivi - usiache kusema. Sema ili roho izidi kuwauma.
 
Hakuna anayependa kufa, ndio maana hata Mwenyekiti alitusimulia ile stori ya kuwekewa sumu alipokuwa waziri.
 
Wengine tulimjua Mandela kwa sababu alifungwa jela na makaburu. Kuna ubaya TL akieleza ukaburu aliofanyiwa na watu wasiojulikana?

Binafsi natamani hata kwenye bango la kampeni kuwe na alama za majeraha ya risasi... na picha ya watu wasiojulikana
 
Back
Top Bottom