Tundu 'Frankenstein' Lissu

Oh please. You are just as stupid.

Nimetumia mfano wa Frankestein metaphorically.

Lakini kwa sababu ya upumbavu wenu mna spin hoja yangu.

Pumbavu kabisa.

..umekosea vibaya sana kwenye heading.

..lakini hoja yako ni nzuri, ndiyo maana nikaamua kuchangia.

..kuwa mpole na ukubali ushauri mzuri.
 
Umechoka kushikilia rambirambi umeanza kumtakia ulemavu,
Jiandae kuaibika,maana naona maumivu ya kumkosa kumuua mnaanza kujifariji kwa maneno ya hivi
Jiandae kuaibika
 
..Mzee mwenzangu nadhani umeteleza kiduchu ktk heading ya bandiko lako.

..Hata mimi sijapendezwa na jina "frankeinstein" lakini nimevumilia tu hivyo hivyo.

..kama itakupendeza naomba urekebishe hoja yako tuendelee na mjadala.

Hapana.

Hakuna nilipokosea.

Wewe ndiye unakosea.

Nimetumia mfano wa dubwana Frankenstein kama mfano tu.

Mfano wa jinsi miscalculation za CCM zilivyompaisha Lissu na kuweza kuwa mtu ambaye hawataweza tena kumdhibiti kama vile ambavyo yule mad scientist alivyoshindwa kulidhibiti dubwana alilolitengeneza mwenyewe.

Sasa kilicho kibaya ni nini hapo?

Kwani nimesema Tundu Lissu ni evil?

How stupid are you really?

We mwenyewe kwenye bandiko lako la kwanza kwenye uzi huu umezungumzia jinsi ambavyo itawawia vigumu CCM kukabiliana na Lissu hapo mbeleni hususan kwa sympathy ambayo anayo kwa umma.

Stop being so sensitive and stupid to the point that you can't even see my point.

Come on now...
 
..umekosea vibaya sana kwenye heading.

..lakini hoja yako ni nzuri, ndiyo maana nikaamua kuchangia.

..kuwa mpole na ukubali ushauri mzuri.

Nope.

Hakuna nilipokosea.

Nipo sahihi kabisa.

And yes, you are stupid.
 
Hilo la ukanda na ukabila "kama ingekua uzushi na propaganda" angeshakamatwa,angeambiwa athibitishe,wahusika wangeshaenda mahakaman kumuomba athibitishe.
Lakini pia hata MKULU angeshajibu,ndio angejibu,kwani amejibu mangapi na hayana maana?Na hili angeshamjibu.
MKULU mambo ambayo yanamhusu 100% huwa hajibu.
1.Hajawah kujibu juu ya issue ya mwanae kujiunga udom bila sifa (Japo ilisemwa mitandaoni,lakini mbona huwa anawajibu wa mitandaoni)
2.Hajawah kanusha la Udikteta uchwara
3.Hajawah kujibu la ukabila(ambalo Lissu alimtuhumu waziwazi)
4.Hajawah kujibu la kusigina katiba, rejea swali la Mayala pale Lithuli,hakulijibu aliishia kusema maana ya Mayala,hata tuhuma za Lissu na usiginwaji wa katiba hajawah kujibu.
5.Hajawah kujibu suala la udini,na tuhuma hizo zimewah kutolewa hata hapa na magazetini na data zikawekwa.
Sasa kama mengine "ya kipuuz" yanajibiwa why hizi "propaganda" hazijibiwi?,hata msemaji wa serikali hajawah kujibu.
Tunaisubiri Bombadia ije ituongezse mapato ya Kuweka maji vijijini
 
Uzuri ulishawah kusema HUMPENDI LISSU,hapahapa,mwezi huu huu.
 
Mimi nimemwita Tundu Yesu.

Naona walokole hawajaniona bado.

Hawa watu ni wapumbavu kabisa aisee.

I mean...I thought it would be so simple to get what I was saying but evidently that's not the case for some.
 

shetani katika kutimiza majukumu
 
Japo watu wengi wanafikiri Lisu atarudi na moto ule au zaidi, lkn mm nakuhakikishia Lisu akirudi atakuwa kama kina Ulimboka!
Ulimboka hakuwa mwanaharakati kwa asili,alidandia uanaharakati kujaza tumbo,
Lissu ni mwanaharakati by nature haigi,hawezi zimika km unavyodhani,
Sishangai wengi mnaotoka familia za kichawi huwa mnadhani tabiri zenu ni sahihi mnasahau kuwa Mungu ni zaidi ya hirizi za baba zenu zinazowapa kiburi cha kubashiri
 
Mungu ndo mweza wa yote atamrudisha ktk uimara.
 
Ahahaha haha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu usicheke kuna siku utakuja kuona kama ndoto ya kweli unahisi kwa hali ilivyo kuna mtu atakataa kuomba supu ya kongoro ngombe kama huyo!
 

wewe dada unaroho mbaya sana.,MUNGU aonaye sirini atahukumu mwenyewe,leo una kula 7000 kila siku lakini huwezi kufikiri laana juu ya watoto wako kupitia haya unayo andika maana imeandikwa KIMTOKACHO MTU NDICHO KIMUJAZACHO,..NOTE MY WORD TODAY UTAPATA PIGO KUBWA WEWE NA FAMILIA YAKO WALA CCM HAWATA KUKUMBUKA
 

MUNGU anaye hukumu kwa mawazo,maneno na matendo yetu anajua na anakujua vizuri,KISASI NI JUU YA BWANA,LEO WEWE UNAPOKEA 7000 LAKINI IPO SIKU FURAHA YAKO ITAGEUKA KUWA KILIO.;MUNGU ATUHURUMIE SOTE
 


Yote hayo yanitokee kwa sababu ya Tundu Lisu?
 
Umeelezea mfano mmoja wa wapi TL alikuwa mzushi, nimeendelea kusoma bandiko lako kuona ulipoeleza wapi TL hakuwa mzushi, alikuwa sahihi, sijaona ukitoa mfano mmoja wa wapi jamaa alikuwa sahihi, otherwise bandiko lako ni kama limeegemea upande mmoja ingawa umekiri kuwa katika demokrasia ukosoaji ni jambo la kawaida, ila hukumtendea haki kwa kutotaja hata eneo moja lililo sahihi kwa TL....
 

..Huo mfano uliotumia siyo mzuri.

..I get a little uncomfortable unapotumia jina "frankeinstein" ktk sentensi moja na mpendwa wetu Tundu Antipas Mughwai Lissu mzalendo nambari moja wa Tz na mtetezi wa wanyonge.

..zaidi kiongozi wetu yupo hospitali akijiuguza kutokana na shambulio la marisasi lililotaka kumtoa maisha. Ulipaswa kuzingatia hilo wakati ukiwasilisha hoja yako.

..Again, hoja yako ni nzuri na mimi nimeichangia.

NB:

..Nashauri tuendelee tu na mjadala wetu. Kuna mambo muhimu zaidi ya kujadili ndani ya bandiko lako.
 
Hawa watu ni wapumbavu kabisa aisee.

I mean...I thought it would be so simple to get what I was saying but evidently that's not the case for some.
You have to bear in mind the (fake) culture of reverence we have in Tanzania.

It is one of the deadlier diseases that is causing us to revolve in a vicious cycle of poverty.

Right now if you say anything wrong about Tundu Yesu, you are simply outlawed.

And I am not even in the CCM/CHADEMA bullshit divide.

They need to watch some George Carlin and see how he rails in on this type of reverence.

There is the one skit where he talks about the day Reagan dies and how people would react, out of this world.

Tundu Yesu is not even dead yet and he is deified like some messiah.

Have some (ironic) humility people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…