Tundu 'Frankenstein' Lissu

Tafadhali muondowe mama yetu Samia kwenye hilo kundi, huyu mama ni mama kweli, hata Nairobi alikwenda hospitali kumjulia hali shujaa Lisu.

Mama Samia siyo dhalimu.
 
Nyani Kama Nyani ni mtu mwenye akili sana. Shida yake ni pale ungosha unapomuingiaga kichwani, hapo ndo anajitoaga sana ufahamu.

Akiweka pembeni ukabila na ukanda, Nyani ni great thinker wa kiwango cha juu sana!!

Kwa kifupi ni kuwa anavutwa na upepo wa kimaslahi zaidi...

Mvumo wa upepo unakovumia, na yeye anageuzia shingo hukohuko...

Yeye anaegemea popote anapoona kuna maslahi yake...

Watu wa namna hii mara nyingi wako described as Chameleon...

Huwezi kuwajua wanasimamia na kuamini nini....
 
Tafadhali muondowe mama yetu Samia kwenye hilo kundi, huyu mama ni mama kweli, hata Nairobi alikwenda hospitali kumjulia hali shujaa Lisu.

Mama Samia siyo dhalimu.
Mama Samia na Mzee Mwinyi hawa ni Binadamu na nusu. Hata Lissu akiingia madarakani sidhani kama atapewa shinikizo na wananchi kuwaadhibu hawa ingawa yeye ameshasema kisasi ni cha Mungu
 
Nyani Ngabu yaani analysis yako imegonga mlemle. Hongera sana aisee, Uliyoyasema miaka mitatu iliyopita ndiyo yamekuwa hivyohivyo.
Lisu ana sympathy ya Umma, ukimgusa tu unaonekana katili, shetani na wananchi wanakuchukia!
Si ajabu ndo maana hata ile siku anarudi, hakukuwepo na presence kubwa ya vyombo vya dola.

Na sasa hivi lolote baya litalomtokea, mshukiwa wa kwanza atakuwa ni CCM na serikali yake.

Kazi wanayo.
 
Lisu anajifariji tu wakati huu ili kupunguza machungu lakini baada ya oktoba hataamini kinachotokea,

Kula kwanza yake matapishi yako ya mwanzo. Kimsingi kwenye ushindani kuna mshindi na mshindwa, hakuna mwenye tatizo na hilo, ila hakuna uwezekano wowote wa ccm kushinda zaidi ya 55% kihalali. Zile zama za ccm kushinda zaidi ya 60% zimeshapita na hazitakaa zirudi, na iwapo wapinzani watasimama kidete kutaka mshindi halali atangazwe, kwa vyovyote kutatokea machafuko, na kutokana na machafuko hayo kutatokea mabadiliko makubwa kwenye chaguzi za nchi hii. Na ikitokea mabadiliko tu ya mfumo wa uchaguzi, huo ndio utakuwa mwisho wa ccm, hicho chama cha kizazi kilichopita.
 

@barborosa pole sana.. Uliandika pumba na ziko mpaka leo online😂😂😂
 
Alipigwa risasi ngapi? Na wapi (eneo), linganisha huduma ya kwanza ya kimatibabu ya Papa huko Ulaya na TZ/Kenya!

Aibu imekuwa kubwa sana juu yako.. Shame on you.. Ulikuwa unajifanya kama Mungu.. Umepata aibu ya mwaka.. Na kama ulidhani Mungu ni Athumani basi ujue kabisa wewe ndio takataka kabisa.. Mlitutia aibu sana kwenye chama nyie roho mbaya.
 
Mitandao bhana inakutumbusha pale tunapokuwa tumesahau.
 
Mkuu umeliona nyomi la Tunduma leo?
 

Kuna post nimekupa mchanganuo vizuri sana, ni vyema ungejibia kule kwa mchanganuo na sio haya matamanio yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…