MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
utaicheza tu pimbi wa lumumbaFreeman mbooE vs kundu lissu wote cdm,
mbavu sana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
utaicheza tu pimbi wa lumumbaFreeman mbooE vs kundu lissu wote cdm,
mbavu sana!!!
Alibugi stepu pale alipomkosoa Mwalimu Nyerere tena ndani ya bunge maalum la katiba. Bado Mwalimu ni idol wa wanasiasa wengi kuanzia wazee waliomshuhudia akiwa hai mpaka vijana wanaoibuka miaka hii.Mkuu sasa hivi Tindu Lissu anajijenga ili agombee urais, hapa lazima apanuwe wigo zaidi, asijifungie kwenye professional yake tu atakuwa anaongea kama mwanasheria mbobezi sio mgombea urais mtarajiwa. Na wengi watamchukulia hivyo kwamba anajua sheria sana lakini hawezi kugombea urais.
Kwa sababu ameshajipambanua anaweza kugombea sasa aanze kujenga hoja za urais kama mambo mengine sio fani yake ndio anatakiwa aanze kutengeneza team ya washauri wake binafsi sio WA chama ili waanze kutengeneza mikakati na hoja.
Hii itamsaidia sana kuanza kuwavutia wananchi maana ana advantage ya kujulikana Kwa hiyo wananchi watamsikiliza kirahisi zaidi.
Pili, chadema wanatakiwa wabadili mbinu badala ya kupambana kisiasa Kwa kuponda yanayofanywa na CCM waanze kuja na sera zinazo ongelea ni nini watafanya kuendeleza pale CCM walipoishia, mfano shirika la Air Tanzania wamepata ndege mpya wenyewe waje na mikakati ya jinsi gani watalikuza zaidi Kwa kuboresha kuhakikisha linaongeza ndege zaidi, linaongeza safari za nje zaidi, linaendeshwa kibiashara zaidi bila kutegemea mkono wa rais, au sgr waseme ni jinsi gani wataboresha utendaji wake, wataongeza njia zaidi kwenda maeneo mengine.
Hii itawajenga zaidi kwa wananchi bila hata kukimbizana na virungu Kwa siasa za sasa hivi.
Mara nyingi vyama vya upinzani vinasema lazima vifiche sera zao zisije kuchukia na CCM, hayo mawazo waachane nayo, kwani wakisikika wao ndio wametoa wazo halafu CCM wakafanya then wataanza kuonekana wao ndio wanaoendesha gari na CCM wanafuata hapo wataanza kujijenga Kwa misingi.
Wewe bahati mbayaNdo akili za namna hii hushabikia sana Lissu
Akili za kuropokaropoka bila kufikiria
unakikumbuka kisa cha Mnara wa Babeli ?huyu alikuwa Mkosoaji, na anaendelea kuwa mkosoaji wa Serikali inayoongozwa na CCM, kwa mnayo yaongea mnatuaminisha kuna kitu nyuma yake,
1)Serikali yenu imemnyika matibabu
2)kuna makada wa CCM anajivika utetezi wa Serikali
kuna mambo mengi ya kufikirisha kuweni makini, ikiwezekana zuieni hiyo tabia, kauli zinatofautiana sana katika kutetea tafuteni mtu makini wa kudili na hili sio jambo dogo, nchi inachafuka sana,
Walio pamoja na wauaji, waonevu, watumia vibaya mamlaka hawako na Mungu na walichonacho ni siku na sio "future". Tupo hapa kushuhudia anguko la shetani n ushetani. Hii ya Lissu Itakua case studyTujiulize aliyempiga risasi yuko wap?
J e kwa nini wenye mamlaka hawashuguliki na aliyempiga risasi?
Je mwajiri wake amefanya nini kusaidia maisha ya mtumishi wake?
je serikali imemhakikishia vip usalama wake vip atakaporejea?
Wengine hatukuwepo Wakati wa babeliunakikumbuka kisa cha Mnara wa Babeli ?
Final UpdateWanabodi,
Hili ni bandiko la swali, "Kwa Mliomsikia Tundu Lissu Kwenye Hard Talk, Jee Unadhani Atarejea Nchini?. Mimi kwa upande wangu, I seriously doubt kama atarejea, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa mwenye uthubutu na ushujaa mkubwa kuliko hata ushujaa wa Nelson Mandela!.
Nimesema hivyo kwa sababu nimemsiliza kwa makini Tundu Lissu, him being a Lawyer, kwa yale aliyoyasema, kwa tuhuma alizoshusha bila ushahidi, I seriously doubt if Tundu Lissu will ever return home during this era, na ikitokea kweli akarejea, then Tundu Lissu atakuwa ni shujaa kuliko Nelson Mandela.
Hongera zake.
Paskali