impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,732
- 7,611
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lissu. Bunge ni Lissu, taasisi binafsi Lissu. Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lissu, Redio Lissu, TV Lissu. Huenda ndiye mtu maarufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa
Hongera Lissu, pole kwa yaliyokukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda katika neema. Mungu akulinde.
Ya kale hayanuki LISSU NDIYE MWANASIASA GHALI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI.
Sent using Jamii Forums mobile app