Tundu A. Lissu huenda ndiye mwanasiasa ghali zaidi Afrika Mashariki

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
7,939
2,000
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lissu. Bunge ni Lissu, taasisi binafsi Lissu. Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lissu, Redio Lissu, TV Lissu. Huenda ndiye mtu maarufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa

Hongera Lissu, pole kwa yaliyokukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda katika neema. Mungu akulinde.

Ya kale hayanuki LISSU NDIYE MWANASIASA GHALI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
9,630
2,000
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lisu
Bunge ni Lisu
Taasisi binafsi Lisu
Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lisu
Redio Lisu
Tv Lisu

Huenda ndiye mtu maatufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa

Hongera Lisu

Pole kwa yaliyo kukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda ktk neema
Mungu akulinde

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu ni TUNU na zawadi kwetu Watz, yeye anapitia kwenye tanuru la moto ili sisi tufaidi matunda ya nchi yetu na uhuru wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa1

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
1,694
2,000
Yaani mtu anfikiria anasema; hebu tuweke Tunu za taifa katika rasimu ya mswaada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa, anaanza kutaja anasema MWENGE!!!! Toba! Si ni bora useme TUNDU LISU!!!!!. Na Mi nasema muhimili huu wa TL ni imara kuliko ule usiotaka kusikia neno DHAIFU!
 
Tundu lisu ni mpango wa Mungu
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,170
2,000
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lisu
Bunge ni Lisu
Taasisi binafsi Lisu
Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lisu
Redio Lisu
Tv Lisu

Huenda ndiye mtu maatufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa

Hongera Lisu

Pole kwa yaliyo kukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda ktk neema
Mungu akulinde

Ya kale hayanuki LISU NDIYE MWANASIASA GHALI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
Yametimia !
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
1,723
2,000
Si unajua Lisu ana damu ya Kikenya Ile ya kitz ilimwagwa wakati wa operation.
Wakenya ndo wamemtolea damu nyingi Sana, thus amekuwa sawa na mbogo aliyejeruhiwa fear no death. Mzee jiwe analo anajuta kumfahamu.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
11,372
2,000
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lissu. Bunge ni Lissu, taasisi binafsi Lissu. Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lissu, Redio Lissu, TV Lissu. Huenda ndiye mtu maarufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa

Hongera Lissu, pole kwa yaliyokukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda katika neema. Mungu akulinde.

Ya kale hayanuki LISSU NDIYE MWANASIASA GHALI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tiss ni Lissu, Makao makuu polisi ni Lissu
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
11,372
2,000
Si unajua Lisu ana damu ya Kikenya Ile ya kitz ilimwagwa wakati wa operation.
Wakenya ndo wamemtolea damu nyingi Sana, thus amekuwa sawa na mbogo aliyejeruhiwa fear no death. Mzee jiwe analo anajuta kumfahamu.
Hahaha kwamba damu ya kunguni ilimwagwa
 
Dp800

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
734
1,000
😂😂😂😂
Hizi comment zinafurahisha
Jf imekua kilinge cha mazuzu wa ufipa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom