Tundu A. Lissu huenda ndiye mwanasiasa ghali zaidi Afrika Mashariki

Huko ni kujifurahisha kwa kitu kisichokuwepo na ambacho hakitakuwepo. Bado saaaaaaana kwa VVU(Vyama Vya Upinzani) kuwa na uwezo na weledi wa kutosha kushika Dola.
Ukifanya hata tathmini fupi tu katika Kampeni zinazoendelea unagundua kuwa VVU bado havijawa na uwezo wa kujenga hoja madhubuti za kuwashawishi wenye akili timamu ili wawaamini. Hoja nyingi wanazotoa ni zile za kuwafurahisha zaidi vijana wa vijiweni.
VVU ni bado saaaaaaana.
 
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lissu. Bunge ni Lissu, taasisi binafsi Lissu. Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lissu, Redio Lissu, TV Lissu. Huenda ndiye mtu maarufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa

Hongera Lissu, pole kwa yaliyokukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda katika neema. Mungu akulinde.

Ya kale hayanuki LISSU NDIYE MWANASIASA GHALI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
LISSU is another level, siyo mtu wa kumlinganisha na kajiwe ka chato
 
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lissu. Bunge ni Lissu, taasisi binafsi Lissu. Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lissu, Redio Lissu, TV Lissu. Huenda ndiye mtu maarufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa

Hongera Lissu, pole kwa yaliyokukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda katika neema. Mungu akulinde.

Ya kale hayanuki LISSU NDIYE MWANASIASA GHALI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dadeeek jiwe mfalme mwenye laana anamwogopa lissu
 
Ukipita ofisi na taasisi za umma ni Lissu. Bunge ni Lissu, taasisi binafsi Lissu. Vijiwe vya kahawa, mipira, magazeti na kashata Lissu, Redio Lissu, TV Lissu. Huenda ndiye mtu maarufu na watuamani zaidi kwa wanasiasa

Hongera Lissu, pole kwa yaliyokukuta lakini tambua kuwa dhahabu haing'ai bali imepitishwa motoni haya yote ni njia ya kwenda katika neema. Mungu akulinde.

Ya kale hayanuki LISSU NDIYE MWANASIASA GHALI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema kweli
 
Huko ni kujifurahisha kwa kitu kisichokuwepo na ambacho hakitakuwepo. Bado saaaaaaana kwa VVU(Vyama Vya Upinzani) kuwa na uwezo na weledi wa kutosha kushika Dola.
Ukifanya hata tathmini fupi tu katika Kampeni zinazoendelea unagundua kuwa VVU bado havijawa na uwezo wa kujenga hoja madhubuti za kuwashawishi wenye akili timamu ili wawaamini. Hoja nyingi wanazotoa ni zile za kuwafurahisha zaidi vijana wa vijiweni.
VVU ni bado saaaaaaana.
Kama zipi hizo za kuwafurahisha vijana wa vijiweni?

Kwani hao vijana wa vijiweni siyo Watanzania?
 
Mbona umesahau umesema mwanasiasa ghali mimi nilidhani umehesabu vyuma vyake na kufanya hesabu? Thamani yake kiasi gani?
 
Hukumtendea haki Lissu kumuanzishia uzi mzito kama huu bila hata kapicha
 
Back
Top Bottom