Acha risala swali ni hili kabla eva na adam hawajala tunda walikuwa hawajui wako uchi walipokula mbona walijiona wako uchi na Mungu alipokuja bustanini walijificha huku wameweka majani kwenye sehemu usikaaa???Tunda la mti wa kati sio hicho unachomaanisha hapo juu. kumbuka Adam alikabidhiwa bustani ikiwa na huo mti wa kati akakatazwa asile kabla hata Eva hajaumbwa kutoka ubavuni kwa Adamu. Eva alikuwa bado yupo Ndani ya Adam.
Tunda la mti wa kati ni kuishi kwa kuutumuainia mwili ambao upo chini ya sheria (Torati) ukishajua sheria tayari unhukumiwa kwa hiyo. Mungu aliona suluhu wanadamu wasijue sheria. Lakini walipomsikiliza shetani alipowafunulia wakaona mbona sheria ni nzuri inasaidia kujua mema na mabaya? jambo ambalo ni kweli ila hawakujua ukishajua jema usilitende inaleta hukumu. Ndo kilichotokea na mauti ikaingia.
Kwa hiyo tunda la kati sio tendo la ndoa. infact Mungu aliwabariki Adam na Eva wazae waongezeke. sasa wangezaaje pasipo tendo la ndoa
Ukishajua jema tena kwa hiyo mazuri tusiyatende ila mabaya tuyatende.Tunda la mti wa kati sio hicho unachomaanisha hapo juu. kumbuka Adam alikabidhiwa bustani ikiwa na huo mti wa kati akakatazwa asile kabla hata Eva hajaumbwa kutoka ubavuni kwa Adamu. Eva alikuwa bado yupo Ndani ya Adam.
Tunda la mti wa kati ni kuishi kwa kuutumuainia mwili ambao upo chini ya sheria (Torati) ukishajua sheria tayari unhukumiwa kwa hiyo. Mungu aliona suluhu wanadamu wasijue sheria. Lakini walipomsikiliza shetani alipowafunulia wakaona mbona sheria ni nzuri inasaidia kujua mema na mabaya? jambo ambalo ni kweli ila hawakujua ukishajua jema usilitende inaleta hukumu. Ndo kilichotokea na mauti ikaingia.
Kwa hiyo tunda la kati sio tendo la ndoa. infact Mungu aliwabariki Adam na Eva wazae waongezeke. sasa wangezaaje pasipo tendo la ndoa
Siuzi wala sina na sigawi bureHivi Mkuu hii nafasi au matunda yanapatikana kwako tuje kununua au kuonja!!![emoji849][emoji849][emoji849]
Soma mwanzoafu sijui nani aliwadanganya hyo theology ya Adam na hawa kuwa tunda la kati ni hvyo mnavyofikiria ... watu tunakariri tu
Oh kumbee usihukumu usije ukahukumiwaBiblia haiwezi kutafakariwa humu MMU na watu wasiyo na elimu na imani ya Kikristo.
Kuleta Maandiko Takatifu kwenye jukwaa la ngono na mapenzi ni kukosa adabu na heshima kwa imani ya Kikristo
Bado upo ovulation?Tokea dunia iwepo binadamu aumbwe wa kwanza alishindwa kuwa jasiri mbele ya hili tunda akavunja maagano na muumba.
Hatimae wakatoka kwenye starehe .
Nakutafuta kwa jasho.
Samson alitoa siri yake za nguvu zake kisa tunda.
Sulemani alioa nakuoa nakuoa kisa kula tunda tofauti lakila rangi.
Mpaka na leo watu wanauana kisa tunda hili hili.
Hata ukitaka kazi nzuri unapata kisa tunda hili hili.
Chochote ukitaka kwa muda wowote ukitoa tunda unapata .
Mwanaume ameshindwa kuwa mjasiri kws hili tunda.
Ndoa zinavunjika nakuimarika kisa hili tunda.
Kwa hiyo ndugu zangu kwenu nyie tokea dunia iwepo nyie hamna ujasiri kwenye hili.
Je mnakataa???
Umejuaje nipo tayari kwa mimbaBado upo ovulation?
Kujua kunakuletea hukumu na hukumu huondoka kwa ondoleo la dhambi na dhambi huondoka kwa njia ya toba ipatikanayo kwa imani bila nguvu ndani yako kukwepa kufanya dhambi haiwezekani na pia haiwezekani kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria ndo maana Roho mtakatifu akaja kwa kusudi hilo baada ya agano la torati (sheria) kubatilika kwa njia ya msalabaUkishajua jema tena kwa hiyo mazuri tusiyatende ila mabaya tuyatende.
Post zako zinajitanabaishaUmejuaje nipo tayari kwa mimba
UngewekA picha tuone ilivyo tayariUmejuaje nipo tayari kwa mimba
Rafiki umeaandika vema ila upotoshaji mwingiTokea dunia iwepo binadamu aumbwe wa kwanza alishindwa kuwa jasiri mbele ya hili tunda akavunja maagano na muumba.
Hatimae wakatoka kwenye starehe .
Nakutafuta kwa jasho.
Samson alitoa siri yake za nguvu zake kisa tunda.
Sulemani alioa nakuoa nakuoa kisa kula tunda tofauti lakila rangi.
Mpaka na leo watu wanauana kisa tunda hili hili.
Hata ukitaka kazi nzuri unapata kisa tunda hili hili.
Chochote ukitaka kwa muda wowote ukitoa tunda unapata .
Mwanaume ameshindwa kuwa mjasiri kws hili tunda.
Ndoa zinavunjika nakuimarika kisa hili tunda.
Kwa hiyo ndugu zangu kwenu nyie tokea dunia iwepo nyie hamna ujasiri kwenye hili.
Je, mnakataa?
NimsaidieAcha risala swali ni hili kabla eva na adam hawajala tunda walikuwa hawajui wako uchi walipokula mbona walijiona wako uchi na Mungu alipokuja bustanini walijificha huku wameweka majani kwenye sehemu usikaaa???
Hawakupaswa kutumia kwa muda huo hadi ifikie muda muafaka.Kwa hiyo Mungu alimuumba Adam na hawa wakiwa na viungo vya uzazi (uume na uke) kisha akawambia kazaeni mkaijaze Dunia
Halafu walipokuwa katika process ya kuzaa wakawa wametenda dhambi kubwa zilizopelekea laana ya vizazi vyote..?
Pointi ya kuwaumba wakiwa na viungo hivyo ilikuwa ni nini kama walikatazwa kuvitumia? Na wangezaliana vipi kama wasingevitumia?
Hizi hadithi zenu zinawafaa watu wenye IQ ya chini ya 65 tu, ndio wataziamini
Walikuwa wasubiri nini sasa?Hawakupaswa kutumia kwa muda huo hadi ifikie muda muafaka.
Mf. Hai ni wewe unasex nakutolewa bikra halafu matokeo yake ni hasara mara mimba magonjwa ya azinaa na shida za kutoa mimba .
Ila kama ulikuwa umejitunza ukaolewa directly na ukatolewa hiyo bkr yako ndani mtoto uliyemtoa asingetolewa bali angezaliwa nakutunzwa ndani ya familia .
Shetani alijua bado muda muafaka wa wao kutumia vinaniliu vyao ndio maana akamjia eva kwa sababu anajua kuwa sisi nitunashawishika kirahisi so akachukua hiyo fulsa yaku waharibia .