Tunda la katikati

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Tokea dunia iwepo binadamu aumbwe wa kwanza alishindwa kuwa jasiri mbele ya hili tunda akavunja maagano na muumba.

Hatimae wakatoka kwenye starehe .

Nakutafuta kwa jasho.

Samson alitoa siri yake za nguvu zake kisa tunda.

Sulemani alioa nakuoa nakuoa kisa kula tunda tofauti lakila rangi.

Mpaka na leo watu wanauana kisa tunda hili hili.

Hata ukitaka kazi nzuri unapata kisa tunda hili hili.

Chochote ukitaka kwa muda wowote ukitoa tunda unapata .

Mwanaume ameshindwa kuwa mjasiri kws hili tunda.

Ndoa zinavunjika nakuimarika kisa hili tunda.

Kwa hiyo ndugu zangu kwenu nyie tokea dunia iwepo nyie hamna ujasiri kwenye hili.

Je, mnakataa?
 
Una uhakika bustani ya Eden ilikuwa na starehe ?
 
Naye yule.....akawanywesha mvinyo mataifa(JF) hata alipohakikisha wamewaza na kutenda yaliyo maovu katika ulimwengu(majukwaa).......mimi 00:27
 
Saa sita na nusu hii usiku.

Embu kalale mtoto.
 


Pale kati patamu.

Credit:- Ney wa Mitego.
 
Hivi Mkuu hii nafasi au matunda yanapatikana kwako tuje kununua au kuonja!!![emoji849][emoji849][emoji849]
 
Jamani tundaaa
Ntalipaje tundaaa
Tunda tam tam
Ntalipaje tundaaa

Nataka tunda katoto kazuri
 
afu sijui nani aliwadanganya hyo theology ya Adam na hawa kuwa tunda la kati ni hvyo mnavyofikiria ... watu tunakariri tu
 
Unamaanisha kuugegeeda uke?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…