KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Na bado tunashangaa sana kwamba kuna watu wa aina hiyo, kama huyo uiyemjibu hapo. Haya ni maajabu makubwa!Huyo unayemkubali hayo ndio maagizo yake, na hizo ndio mbinu zake za ushindi toka akiwa mbunge.