Tunazo taarifa za kikao cha Humphrey Polepole mkoani Kigoma na maagizo yake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
40,966
Points
2,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
40,966 2,000
TUNAZO TAARIFA ZA KIKAO CHA POLEPOLE KIGOMA NA MAAGIZO YAKE

Kikao kilifanyikia CCM mkoa Jana tarehe 2/1/2020.

Walio hudhuria ni
(1) Viongozi wote wa CCM mkoa na wilaya.
(2) Wenyeviti wote wa mitaa 68 iliopo manispaa ya Kigoma /Ujiji.
(3) Watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya manispaa.
(4) Mjumbe wa NEC ndugu ng"Enda Kirumbe.
(5) Wakuu wote wa idara hapa halmashauri ya manispaa Kigoma/Ujiji.
(6) Wakuu wote wa vitengo hapa halmashauri ya manispaa Kigoma /Ujiji.
(7) Afisa uchaguzi mpya ndugu Iddy Kalingonje.
(8) Mkurugenzi wa manispaa Ndugu Mwailwa Pangani.

(9) Mkuu wa Mkoa wa Kigoma

MAAGIZO YA POLEPOLE KWA VIONGOZI HAO WA SERIKALI
1. Kwamba uzi uliotumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa ndio utumike kwenye uchaguzi mkuu.

2. Asitokei mtendaji yeyote kumtangaza mpinzani na pindi akifanya hivyo kazi yake itakuwa imekoma.

3. Amewataka watumishi wote wa manispaa kuhakikisha CCM wanapata ushindi kwenye uchaguzi mkuu kuanzia kata mpaka jimbo.

4. Afisa uchaguzi mpya ndugu Iddy Kalingonje yeye ndio kaambiwa ahakikishe anafanya kazi vizuri kama mwenzie walivyofanya kazi vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa nae ameapa kufanya hivyo

Polepole tunakuonya tuna imani wewe na hao wenzako Kigoma hamuifahamu vizuri. Na maagizo yake

1578054147724.jpeg

1578069742015.png

1578069828429.png

1578069681170.png
 

Forum statistics

Threads 1,391,507
Members 528,420
Posts 34,083,129
Top