Tunazo taarifa za kikao cha Humphrey Polepole mkoani Kigoma na maagizo yake

TUNAZO TAARIFA ZA KIKAO CHA POLEPOLE KIGOMA NA MAAGIZO YAKE

Kikao kilifanyikia CCM mkoa Jana tarehe 2/1/2020.

Walio hudhuria ni
(1) Viongozi wote wa CCM mkoa na wilaya.
(2) Wenyeviti wote wa mitaa 68 iliopo manispaa ya Kigoma /Ujiji.
(3) Watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya manispaa.
(4) Mjumbe wa NEC ndugu ng"Enda Kirumbe.
(5) Wakuu wote wa idara hapa halmashauri ya manispaa Kigoma/Ujiji.
(6) Wakuu wote wa vitengo hapa halmashauri ya manispaa Kigoma /Ujiji.
(7) Afisa uchaguzi mpya ndugu Iddy Kalingonje.
(8) Mkurugenzi wa manispaa Ndugu Mwailwa Pangani.

(9) Mkuu wa Mkoa wa Kigoma

MAAGIZO YA POLEPOLE KWA VIONGOZI HAO WA SERIKALI
1. Kwamba uzi uliotumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa ndio utumike kwenye uchaguzi mkuu.

2. Asitokei mtendaji yeyote kumtangaza mpinzani na pindi akifanya hivyo kazi yake itakuwa imekoma.

3. Amewataka watumishi wote wa manispaa kuhakikisha CCM wanapata ushindi kwenye uchaguzi mkuu kuanzia kata mpaka jimbo.

4. Afisa uchaguzi mpya ndugu Iddy Kalingonje yeye ndio kaambiwa ahakikishe anafanya kazi vizuri kama mwenzie walivyofanya kazi vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa nae ameapa kufanya hivyo

Polepole tunakuonya tuna imani wewe na hao wenzako Kigoma hamuifahamu vizuri. Na maagizo yake

View attachment 1311100
Haya tumekusikia kwa hiyo?
 
NOTED

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*TUNAZO TAARIFA ZA KIKAO CHA POLEPOLE KIGOMA NA MAAGIZO YAKE*

Kikao kilifanyikia ccm mkoa Jana tareheh 2/1/2020.
Walio hudhuria ni
(1) viongozi wote wa ccm mkoa na wilaya.
(2) wenyeviti wote wa mitaa 68 iliopo manispaa ya kigoma /ujiji.
(3) watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya manispaa.
(4) mjumbe wa NEC ndugu ng"enda kirumbe.
(5) wakuu wote wa idara hapa halmashauri ya manispaa kigoma/ujiji.
(6) wakuu wote wa vitengo hapa halmashauri ya manispaa kigoma /ujiji.
(7) Afisa uchaguzi mpya ndugu IDDY KALINGONJE.
(8) mkurugenzi wa manispaa NDUGU MWAILWA PANGANI.

(9) Mkuu wa Mkoa wa Kigoma

*MAAGIZO YA POLEPOLE KWA VIONGOZI HAO WA SERIKALI*
1. kwamba uzi uliotumika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ndio utumike kwenye uchaguzi mkuu.

2. asitokei mtendaji yeyote kumtangaza mpinzani napindi akifanya hivyo kazi yake itakua imekoma.

3. Amewataka watumishi wote wa manispaa kuhakikisha ccm wanapata ushindi kwenye uchaguzi mkuu kuanzia kata.
Mpaka jimbo.

4. Afisa uchaguzi mpya ndugu IDDY KALINGONJE yeye ndio kaambiwa ahakikishe anafanya kazi vizuri kama mwenzie walivyofanya kazi vizuri kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa nae ameapa kufanya hivyo

Polepole tunakuonya tuna Imani wewe na Hao wenzako Kigoma hamuifahamu vizuri.

IMG-20200103-WA0014.jpg
IMG-20200103-WA0013.jpg
IMG-20200103-WA0012.jpg
IMG-20200103-WA0011.jpg
 
Hapo tume yote ngazi ya wilaya iko hapo inapewa maelekezo Na ccm namna ya kusimamia uchaguzi duh...
 
Kwa kauli kama hizi inazidi kuonyesha kuwa CCM kimeichoka amani iliyopi nchini, kwa makusudi inachochea kwa makusudi uvunjifu wa amani ama ina jaribu kutikisa kwa makusudi kuona wingi wa njiti za kibiriti. Ni lazima wana CCM watambue jukumu la kudumisha amani ktk taifa letu ni la Watanzania wote, na wala si ya wana CCM pekee na baadhi viongozi wa vyombo vya dola ambao hawazingatii weledi na wajibu wao wa kazi, ni lazima itafika wakati wataichoka tu na mbeleko wanaoiegemea itakapochanika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kwanza January tuu. Wanaoamini wanakubalika kwa vile wamenunua ndege wanahangaika huku na kule kwa vikao vya siri. Usiku hawalali wanapigia vijana simu wakiwa kwenye burudani zao na wanatisha watumishi wa umma kuiba na kudhulumu kura.
Tunajiuliza, anaye pendwa na kukubalika ana sababu gani za kufanya hivyo?
Inavyo onyesha ni kuwa CCM imefanya utafiti na kujua kuwa hawakubaliki na uchaguzi ukiwekwa huru ni kilio kikubwa sana la sivyo wasinge lazimisha mambo kungali mapema hivi.
Lakini wafanyacho ni kuwaponza watendaji wa umma, kwani tuelekeako usalama wao utakuwa mashakani kama watatekeleza maagizo toka kwa watu watakao kuwa wamejifungia Lumumba
 
Kwa kauli kama hizi inazidi kuonyesha kuwa CCM kimeichoka amani iliyopi nchini, kwa makusudi inachochea kwa makusudi uvunjifu wa amani ama ina jaribu kutikisa kwa makusudi kuona wingi wa njiti za kibiriti. Ni lazima wana CCM watambue jukumu la kudumisha amani ktk taifa letu ni la Watanzania wote, na wala si ya wana CCM pekee na baadhi viongozi wa vyombo vya dola ambao hawazingatii weledi na wajibu wao wa kazi, ni lazima itafika wakati wataichoka tu na mbeleko wanaoiegemea itakapochanika.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama huyu aliyeleta taarifa kama hii alikuwepo ila najua hapendi wanayoagizwa
 
Kwa kauli kama hizi inazidi kuonyesha kuwa CCM kimeichoka amani iliyopi nchini, kwa makusudi inachochea kwa makusudi uvunjifu wa amani ama ina jaribu kutikisa kwa makusudi kuona wingi wa njiti za kibiriti. Ni lazima wana CCM watambue jukumu la kudumisha amani ktk taifa letu ni la Watanzania wote, na wala si ya wana CCM pekee na baadhi viongozi wa vyombo vya dola ambao hawazingatii weledi na wajibu wao wa kazi, ni lazima itafika wakati wataichoka tu na mbeleko wanaoiegemea itakapochanika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa ccm bila kubebwa hali mbaya, yako maeneo uandikishaji wamepewa makada 100%, bila tume huru Tanzania shughuli.yaani ukada ndo kinakuwa kigezo cha MTU kupewa kazi ya tume.
 
TUNAZO TAARIFA ZA KIKAO CHA POLEPOLE KIGOMA NA MAAGIZO YAKE

Kikao kilifanyikia CCM mkoa Jana tarehe 2/1/2020.

Walio hudhuria ni
(1) Viongozi wote wa CCM mkoa na wilaya.
(2) Wenyeviti wote wa mitaa 68 iliopo manispaa ya Kigoma /Ujiji.
(3) Watendaji wote wa kata na mitaa ndani ya manispaa.
(4) Mjumbe wa NEC ndugu ng"Enda Kirumbe.
(5) Wakuu wote wa idara hapa halmashauri ya manispaa Kigoma/Ujiji.
(6) Wakuu wote wa vitengo hapa halmashauri ya manispaa Kigoma /Ujiji.
(7) Afisa uchaguzi mpya ndugu Iddy Kalingonje.
(8) Mkurugenzi wa manispaa Ndugu Mwailwa Pangani.

(9) Mkuu wa Mkoa wa Kigoma

MAAGIZO YA POLEPOLE KWA VIONGOZI HAO WA SERIKALI
1. Kwamba uzi uliotumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa ndio utumike kwenye uchaguzi mkuu.

2. Asitokei mtendaji yeyote kumtangaza mpinzani na pindi akifanya hivyo kazi yake itakuwa imekoma.

3. Amewataka watumishi wote wa manispaa kuhakikisha CCM wanapata ushindi kwenye uchaguzi mkuu kuanzia kata mpaka jimbo.

4. Afisa uchaguzi mpya ndugu Iddy Kalingonje yeye ndio kaambiwa ahakikishe anafanya kazi vizuri kama mwenzie walivyofanya kazi vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa nae ameapa kufanya hivyo

Polepole tunakuonya tuna imani wewe na hao wenzako Kigoma hamuifahamu vizuri. Na maagizo yake

View attachment 1311100
View attachment 1311402
View attachment 1311403
View attachment 1311401
Hongera kwa kupewa like na Kuonekana Mtu bora humu
Unda lingine Vibendera wakuvishe mataji Yot ya Id fake humu
Ukimaliza waambie
Tuna Rais mmoja tu mpaka 2025 naye ni John Pombe Joseph Magufuli
 
Back
Top Bottom