Tunaziomba mamlaka husika kukaa na wadeni wote wa taifa hasa waliofungua kesi nje ya nchi kuona hili halitokei tena.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,649
20,988
Naona kama hili lililotutokea ni fedhaha kubwa hasa kwa ustawi wa shirika letu ambalo lilikuwa katika kujaribu kunyanyuka na pia kujijenga kwa wateja ili hatimaye kujenga confidence kwao ya kwamba ATCL sasa ni shirika maridadi.
Nazungumza haya huku ni kiwa na hofu kuu ya kwamba huenda wadai wetu wakatumia sasa njia hii RASMI katika kukabiliana na madeni ambayo wamekuwa wakitudai kwa mikataba mbalimbali ambayo tumeivunja kwa kutokuwa na tija kwa taifa letu.#waliyoyafungulia maji,ndiyo hao hao watakaoyafunga maji hayo.
 
Back
Top Bottom