Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Ahaaaa, hili swali huwa linaulizwa sana, hakuna hati miliki juu ya hili, ni yeyote tu ME au KE kutegemeana na sababu mbalimbali kama vile nani alikuwa na mzuka sana, nani fundi zaidi, nani anajituma zaidi n.kHa ha haaaaa Mjuni Lwambo mi sijamaanisha hivyo, nimemaanisha nani anakuwa mkaree.
Kama ya The secretary na tajiri bishanga.
Ahaaaa, hili swali huwa linaulizwa sana, hakuna hati miliki juu ya hili, ni yeyote tu ME au KE kutegemeana na sababu mbalimbali kama vile nani alikuwa na mzuka sana, nani fundi zaidi, nani anajituma zaidi n.k
CHUAKACHARA, taratibu mie ni KE na mvuto zaidi ya Avatar, lakini kutongoza bila kumfahamu unayemtaka nalo neno, ati!!!!!Ndio maana nasema ni ajabu kidogo!!!!!!!! Unatongoza hujui kama ni ME au KE!!!!!!!!! Unaona avatar ya kike unatongoza, eh!!! kama wewe avatar yako mtu atadhani ni binti ataanza kutongoza, jamani!!!!!!!!
CHUAKACHARA, taratibu mie ni KE na mvuto zaidi ya Avatar, lakini kutongoza bila kumfahamu unayemtaka nalo neno, ati!!!!!
Kaka umenichekeshaaa.
CHUAKACHARA, taratibu mie ni KE na mvuto zaidi ya Avatar, lakini kutongoza bila kumfahamu unayemtaka nalo neno, ati!!!!!
Dada cheka uongeze siku za kuishi!
waitu, Bojo kaziro Oije oshemeze, kyonka CHUAKACHARA Olamanya olushengo, bojo Olalege!!!! Kaziro nakuganyira.KanaKoMuhaya, nimeutamani mvuto wako, kama ni zaidi ya avatar yako basi kuna ka mvuto. ! Usimtongoze mtu humjui wanaume achana nao, usijifunge kwa mtu humjui, wengine tunaumwa humu jamvini. Karibu kwetu KaisikiKoMuka!
waitu, Bojo kaziro Oije oshemeze, kyonka CHUAKACHARA Olamanya olushengo, bojo Olalege!!!! Kaziro nakuganyira.
Arushaone hivi kulala ni msamiati wa wapi maana sijawahi usikianeno hasa kyanaKyoMuhaya! Muda gani una muda nikupe neno lenyewe?
Muda wenyewe make sure kina Erickb52 Mr Rocky Vin Diesel wamelala
Kumbe ulikuwa unanitania mi nikajua unanitongoza siriasi na nshaanza kukupenda ujue!!!!!!!