Tunazika kama tunavyoishi

mpasta

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
917
1,999
Ni mara kadhaa huwa naongelea tatizo la ujenzi holela wa makazi yetu.

Ila leo nikakumbuka kwamba hata maeneo yetu ya kuzikia unakuta makaburi hayajapangwa kinadhifu katika mistari iliyonyooka.

Tunazika kama tunavyoishi.

Picha ya kwanza hapo ni makaburi ya wazungu waliokufa katika ardhi ya Tangayika kwenye vita ya kwanza ya dunia. Yako Dar es Salaam karibu na ukumbi wa wagiriki. Sio tuna yamepangiliwa kwa unadhifu, bali haya makaburi yametengenezewa mpaka tovuti kadhaa za kuelezea historia yake, na za watu waliozikwa hapo.

Picha ya pili ni makaburi ya mbele. Yamepangiliwa nadhifu kwa kanuni za mipango miji.

Na picha ya tatu na ya nne ni za makaburi yetu ya kibongo. Ni noma sana pale tunaposhindwa kunyoosha hata hivi viplot vya mita 1 kwa 2.

BY-BABA INDUMILE

FB_IMG_1596472529765.jpg
FB_IMG_1596472522945.jpg
 
Mengine yameelekea kibla na mengine kusini, mengine Dodoma, ndio waafrika tulivyo, hiyo vurugu unayoona hapo ndio iliyopo kwenye akili za viongozi wetu ukilinganisha na viongozi wa kizungu.
 
Back
Top Bottom