BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 239
- 371
Mko wapi?Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale
Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo;
✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka
✓ Wanakua haraka na kufikisha uzito mkubwa mdani ya muda mfupi
✓ Wanazaliana vizuri, under culture conditions
✓ Wanakula chakula cha kutengenza,
✓ Wanapendwa na wateja (satisfactory to the consumer)
✓ Wanakaa wengi kwenye eneo dogo,
Wanastahimili magonjwa
Bei zetu ni nafuu kabisa
•Samaki wasio zaliana (monosex) ni Tsh 200 kwa kifaranga 1
•Samaki wanaozaliana (mixe-sex) ni Tsh 150 kwa kifaranga kimoja
Kama unapenda kufuga samaki iwe ni kibiashara au kwa matumizi binafsi karibu tukuhudumie
Mawasiliano
0758779170
Ahsante! Kwanza kabisa vifaraga tunaozalisha wanatokana na species Bora aina ya Nile Tilapia (Oreochromis Niloticus) Hii ni jamii ya Sato wanao kuwa harakatuambie zaidi iyo kitaalam
Tupo Dar lakini pia tuna tuma mzigo MikoaniMko wapi?
Dar kariakoo? Sema mnafugia maeneo gani hao vifaranga tuje kutembelea kabla ya kufanya manunuziTupo Dar lakini pia tuna tuma mzigo Mikoani
Atoe address kama sio dalali, Dar ni kubwaDar kariakoo? Sema mnafugia maeneo gani hao vifaranga tuje kutembelea kabla ya kufanya manunuzi
Sato wa Mwanza au kutoka kwa Mabeberu?Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo;
✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka
✓ Wanakua haraka na kufikisha uzito mkubwa mdani ya muda mfupi
✓ Wanazaliana vizuri, under culture conditions
✓ Wanakula chakula cha kutengenza,
✓ Wanapendwa na wateja (satisfactory to the consumer)
✓ Wanakaa wengi kwenye eneo dogo,
Wanastahimili magonjwa
Bei zetu ni nafuu kabisa
•Samaki wasio zaliana (monosex) ni Tsh 200 kwa kifaranga 1
•Samaki wanaozaliana (mixe-sex) ni Tsh 150 kwa kifaranga kimoja
Kama unapenda kufuga samaki iwe ni kibiashara au kwa matumizi binafsi karibu tukuhudumie
Mawasiliano
0758779170
View attachment 2668908
Nyinyi mayai mnayatoa wapi? Au ndio mambo ya GMO?Vifaranga wetu hatuwakusanyi kiholela kutoka mabwawani/mitoni au ziwani, tuna wazalisha kwenye sehemu maalumu ya kutotolesha na kukuzia Vifaranga
Dar es salaam maeneo mbele kidogo ya Bunju BDar kariakoo? Sema mnafugia maeneo gani hao vifaranga tuje kutembelea kabla ya kufanya manunuzi
Mayai tunatoa kwa samaki wazazi (brooders) tulionao hapa shambani kwetuNyinyi mayai mnayatoa wapi? Au ndio mambo ya GMO?
Nu sato wa Mwanza Mkuu, Hawa ni Nile Tilapia (Oreochromis Niloticus)Sato wa Mwanza au kutoka kwa Mabeberu?
Mimi sio Dalali Mimi ni aquaculture expertAtoe address kama sio dalali, Dar ni kubwa
Kitoweo unapata Boss 1kg ni Tsh 9,000 tuNaweza kupata wa kitoweo? Kg bei gan
Naweza kupata wa kitoweo? Kg bei gan
Kitoweo unapata Boss 1kg ni Tsh 9,000 tu
Dar es salaam maeneo mbele kidogo ya Bunju B
Karibu Sana Boss