Tunaweza Anza weekend hata saivi kama mnataka

Nimeimiss Moro
Zamani sana .. kuna sehemu nilikuwa simalizi siku 3 sijaenda kufata banana muffin.

Nimemiss pia kuku wa ndoo😂😂
Na nimemiss heka heka za road, unapanda hiace kutoka Mzinga jeshini unafika town unechafuka balaa kwa vumbi.
 
Sasa mambo ya ndiz yanahusiana vipi na hii uzi na ww kimbau mbau
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] saivi kumekuwa kuzuri na hivi kuna mvua Hali ya hewa inaruhusu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…