Tunawazidi KQ kwa haya

Tunawazidi KQ kwa haya

Msaada: NI KIPI HASWA AMBACHO TANZANIA IMEIZIDI KENYA?🤔

1. Kwenye taarifa ya innovation duniani (WIPO) Tanzania ipo nafasi ya 120, wakati Kenya ipo nafasi ya 96.

2. Kwenye Human Development Index, Tanzania ipo nafasi ya 165, Kenya wapo nafasi ya 143.

3. Kwenye taarifa ya Maendeleo ya Vijana Duniani, Kenya ipo nafasi ya 143 wakati Tanzania tupo nafasi ya 166.

4. Kenya ni moja kati ya nchi tatu zinazozalisha tafiti nyingi Africa, Tanzania hata top ten sidhani kama tupo.

5. Chuo chetu bora kwa tafiti na kinachotutoa kimasomaso ni Muhimbili, kipo nafasi ya 87 Africa na nafasi ya 6,594 Duniani; kwenye kundi la Q2, second best kwa lugha nyingine. Wakati huo University of Nairobi ipo nafasi ya 34 Africa, nafasi ya 4,674 Duniani, na kama haitoshi kipo kwenye Q1, yani best quartile (kwa mujibu wa Scimago report 2025).

6 Mpaka kufikia mwaka 2020, Kenya ilikuwa na jumla ya shule za msingi za umma 23,600 zenye wanafunzi 8,600,000 na walimu 212,000.

Tanzania mpaka 2024 tulikuwa na shule za msingi za umma 17,400 zenye wanafunzi 11,000,000 na walimu 176,500.

Yani sisi tuna wanafunzi karibu milioni tatu zaidi ya Kenya, lakini Kenya wana shule za msingi 5,000 zaidi yetu, na karibu walimu 40,000 zaidi yetu. Hawa ndio watu uliowapita?🤔🤔

7. Jumla ya kompyuta kwenye shule za msingi za umma Kenya mpaka 2020 ilikuwa 836,000, Tanzania ukichanganya mpaka smartphones za walimu unapata devices 260,000.

8. Mpaka 2020 Kenya ilikuwa na shule za sekondari za umma 9,400 zenye wanafunzi 3,600,000 wanaofundishwa na walimu 115,000.

Tanzania mpaka mwaka jana tulikuwa na shule za sekondari za umma 4,500 zenye wanafunzi 3,000,000+ na walimu 96,000.

9. Mpaka 2020 kulikuwa na zaidi ya kompyuta 62,000 kwenye shule za sekondari za umma Kenya, Tanzania mpaka kufika mwaka jana tulikuwa na kompyuta devices 16,000 tu kwenye shule zetu zote za sekondari za umma.

10. Asilimia 70% ya labor force ya Kenya ina elimu post secondary, ama degree au masters au PhD.

Asilimia 70% ya labor force ya Tanzania ina elimu ya msingi.

Sasa wazee, hilo eneo ambalo sisi tumewazidi Kenya tunalojisifia nalo kiasi hiki kila kukicha ni lipi?🤔🤔🤔
Tunawazidi ka Mdomo ka kiswahili 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya unayosema inaweza ikawa kweli maana kwenye mambo ya makaratasi kenya katuacha.kitu kenya hawezani nasi ni maisha halisi tu,hawa wana u maskini mwingi kutuliko.bongo mtu hajasoma anaishi kwake na wanakula,asilimia 80 ya wakenya wamepanga,sijui wafanyakazi benk,walimu vyuo vikuu watu wengi tu mwisho wa mwezi wanamlipa landlord,tz tamu bana.ardhi kubwa na chakula tele,unakula unaishi kwako mbona inatosha hayo mengine ni mbwembwe tu,kenya kwenye makaratasi katuacha mbali ila ukweli bongo tunaishi maisha matam kushinda wao.nimesoma nimeishi na kufanya kazi zaidi ya mikoa 6 kenya..bongo mshona viatu ana nyumba ulinganishe na kenya?
 
Msaada: NI KIPI HASWA AMBACHO TANZANIA IMEIZIDI KENYA?🤔

1. Kwenye taarifa ya innovation duniani (WIPO) Tanzania ipo nafasi ya 120, wakati Kenya ipo nafasi ya 96.

2. Kwenye Human Development Index, Tanzania ipo nafasi ya 165, Kenya wapo nafasi ya 143.

3. Kwenye taarifa ya Maendeleo ya Vijana Duniani, Kenya ipo nafasi ya 143 wakati Tanzania tupo nafasi ya 166.

4. Kenya ni moja kati ya nchi tatu zinazozalisha tafiti nyingi Africa, Tanzania hata top ten sidhani kama tupo.

5. Chuo chetu bora kwa tafiti na kinachotutoa kimasomaso ni Muhimbili, kipo nafasi ya 87 Africa na nafasi ya 6,594 Duniani; kwenye kundi la Q2, second best kwa lugha nyingine. Wakati huo University of Nairobi ipo nafasi ya 34 Africa, nafasi ya 4,674 Duniani, na kama haitoshi kipo kwenye Q1, yani best quartile (kwa mujibu wa Scimago report 2025).

6 Mpaka kufikia mwaka 2020, Kenya ilikuwa na jumla ya shule za msingi za umma 23,600 zenye wanafunzi 8,600,000 na walimu 212,000.

Tanzania mpaka 2024 tulikuwa na shule za msingi za umma 17,400 zenye wanafunzi 11,000,000 na walimu 176,500.

Yani sisi tuna wanafunzi karibu milioni tatu zaidi ya Kenya, lakini Kenya wana shule za msingi 5,000 zaidi yetu, na karibu walimu 40,000 zaidi yetu. Hawa ndio watu uliowapita?🤔🤔

7. Jumla ya kompyuta kwenye shule za msingi za umma Kenya mpaka 2020 ilikuwa 836,000, Tanzania ukichanganya mpaka smartphones za walimu unapata devices 260,000.

8. Mpaka 2020 Kenya ilikuwa na shule za sekondari za umma 9,400 zenye wanafunzi 3,600,000 wanaofundishwa na walimu 115,000.

Tanzania mpaka mwaka jana tulikuwa na shule za sekondari za umma 4,500 zenye wanafunzi 3,000,000+ na walimu 96,000.

9. Mpaka 2020 kulikuwa na zaidi ya kompyuta 62,000 kwenye shule za sekondari za umma Kenya, Tanzania mpaka kufika mwaka jana tulikuwa na kompyuta devices 16,000 tu kwenye shule zetu zote za sekondari za umma.

10. Asilimia 70% ya labor force ya Kenya ina elimu post secondary, ama degree au masters au PhD.

Asilimia 70% ya labor force ya Tanzania ina elimu ya msingi.

Sasa wazee, hilo eneo ambalo sisi tumewazidi Kenya tunalojisifia nalo kiasi hiki kila kukicha ni lipi?🤔🤔🤔
Maisha magumu hufanya kichwa kuchemka haraka,maisha ya mkenya ni heka heka sana ila huku kwetu hata wazembe wanaishi tu,kipimo cha kweli ni maisha tunayoishi ndo mkenya anaishi?watu hawana chakula kila mwaka ukame,,,boss ushaona unaenda supermarket unakuta tangazo linasema unaruhusiwa kununua pakti mbili tu za unga au sukari?na pesa ya kununua zaidi unayo?hii kenya ndo imemshinda tz kwenye maisha?kuna mambo wametuzidi ila sio maisha halisi
 
Msaada: NI KIPI HASWA AMBACHO TANZANIA IMEIZIDI KENYA?🤔

1. Kwenye taarifa ya innovation duniani (WIPO) Tanzania ipo nafasi ya 120, wakati Kenya ipo nafasi ya 96.

2. Kwenye Human Development Index, Tanzania ipo nafasi ya 165, Kenya wapo nafasi ya 143.

3. Kwenye taarifa ya Maendeleo ya Vijana Duniani, Kenya ipo nafasi ya 143 wakati Tanzania tupo nafasi ya 166.

4. Kenya ni moja kati ya nchi tatu zinazozalisha tafiti nyingi Africa, Tanzania hata top ten sidhani kama tupo.

5. Chuo chetu bora kwa tafiti na kinachotutoa kimasomaso ni Muhimbili, kipo nafasi ya 87 Africa na nafasi ya 6,594 Duniani; kwenye kundi la Q2, second best kwa lugha nyingine. Wakati huo University of Nairobi ipo nafasi ya 34 Africa, nafasi ya 4,674 Duniani, na kama haitoshi kipo kwenye Q1, yani best quartile (kwa mujibu wa Scimago report 2025).

6 Mpaka kufikia mwaka 2020, Kenya ilikuwa na jumla ya shule za msingi za umma 23,600 zenye wanafunzi 8,600,000 na walimu 212,000.

Tanzania mpaka 2024 tulikuwa na shule za msingi za umma 17,400 zenye wanafunzi 11,000,000 na walimu 176,500.

Yani sisi tuna wanafunzi karibu milioni tatu zaidi ya Kenya, lakini Kenya wana shule za msingi 5,000 zaidi yetu, na karibu walimu 40,000 zaidi yetu. Hawa ndio watu uliowapita?🤔🤔

7. Jumla ya kompyuta kwenye shule za msingi za umma Kenya mpaka 2020 ilikuwa 836,000, Tanzania ukichanganya mpaka smartphones za walimu unapata devices 260,000.

8. Mpaka 2020 Kenya ilikuwa na shule za sekondari za umma 9,400 zenye wanafunzi 3,600,000 wanaofundishwa na walimu 115,000.

Tanzania mpaka mwaka jana tulikuwa na shule za sekondari za umma 4,500 zenye wanafunzi 3,000,000+ na walimu 96,000.

9. Mpaka 2020 kulikuwa na zaidi ya kompyuta 62,000 kwenye shule za sekondari za umma Kenya, Tanzania mpaka kufika mwaka jana tulikuwa na kompyuta devices 16,000 tu kwenye shule zetu zote za sekondari za umma.

10. Asilimia 70% ya labor force ya Kenya ina elimu post secondary, ama degree au masters au PhD.

Asilimia 70% ya labor force ya Tanzania ina elimu ya msingi.

Sasa wazee, hilo eneo ambalo sisi tumewazidi Kenya tunalojisifia nalo kiasi hiki kila kukicha ni lipi?🤔🤔🤔
2 countries depending on western grants fighting
 
Mbaya zaidi idadi ya watu tunawazidi sana Kenya ikimaanisha hizo takwimu ili ziwe fair ilitakiwa tuwe na takwimu za Kenya kulinganisha na idadi ya watu
Zaidi ya hayo sioni hata kiongozi mwenye moyo na hatua za dhati kupindua hizo takwimu tupo tu kujazana ujinga hapa
 
Wakipeleka branch Kenya haitaweza kusurvive hata kwa miezi 6 kwa huduma zao mbovu kuhudumia mteja kwa kujivutavuta hadi uwabembeleze,kupata Atm card hadi ukawabembeleze wiki 2,kwenda kufuata pesa au kudeposit ukae kwenye foleni masaa 3 hadi 4 huku baadhi ya madirisha ya bank tellers yakiwa matupu hakuna mtu ndani.
Kiufupi Wakenya hatuwawezi wametuacha mbali mno sio rika yetu,kwa Afrika Kenya wakupambana nao ni Nigeria na South Africa tu kwa sasa.
Kabisa mkuu nakubaliana na wewe kwa 200%
 
Hivi hata Chawa wa Mama pia hawaoperate Kenya?🤔
Wakijipenyeza kule nadhani watakuwa wanaonekana kama wehu waliopeteza matumaini....maana kwa namna Wakenya walivyo kila mtu anajali mambo yake ndio maana kule uchawa haupewi nafasi kabisa
 
Watajiona walivyo inferior kielimu na kifikra.
 
Huo wote ni utumbo, issue ni kwamba wale wapumbavu wao wakirudi Tanzania hawatarudi tena Kenya, hizo porojo zingine ni irrelevant. Tanzania inaizidi Kenya kwa mambo mengi sana. Kwa Tanzania Kenya ni km chokoraa tu
Ni kweli hawarudi sababu tanzania watu WENGI hawapo competent mfano shule nyingi za international hata hapa dar walimu ni wakenya na nlishawah kufanya kazi in one of these schools wakenya na waganda walikuwa wananiuliza nimesoma wapi ? Sababu lugha waliokuwa wanatamba nayo nlikuwa naiongea kama nakunywa mvinyo mtamu...
 
mwalimu mmoja Kenya anafundisha wanafunzi 40,ila Tanzania mwalimu anafundisha wanafunzi 63. duh!!
 
Huo wote ni utumbo, issue ni kwamba wale wapumbavu wao wakirudi Tanzania hawatarudi tena Kenya, hizo porojo zingine ni irrelevant. Tanzania inaizidi Kenya kwa mambo mengi sana. Kwa Tanzania Kenya ni km chokoraa tu
Hii hoja ni dhaifu! Huenda hata kule kuna Watanzania ambao hawajarudi Tanzania.
 
Back
Top Bottom