Tunawazidi KQ kwa haya

Tunawazidi KQ kwa haya

Shida sio hawa chawa, kunguni wala viroboto wa mama , shida ni kwamba mtu mzima,tena kiongozi mkubwa nchini,unafurahiaje kuwa na watu eti wanajiita chawa wako,unajua kabisa na umetulia tu??
 
Huo wote ni utumbo, issue ni kwamba wale wapumbavu wao wakirudi Tanzania hawatarudi tena Kenya, hizo porojo zingine ni irrelevant. Tanzania inaizidi Kenya kwa mambo mengi sana. Kwa Tanzania Kenya ni km chokoraa tu
Ukiacha jaziba, utajikuta ukijiita mjinga!
 
Kama huoni shida nenda kapige X ray huo ubongo labda umegeuka haja kubwa.
mm nlitegemea muanze uko kwenu kwa sababu wakina lema washakuaga wabunge na tunajua kabisa wameishia la saba

BTW maisha ni fumbo
 
mm nlitegemea muanze uko kwenu kwa sababu wakina lema washakuaga wabunge na tunajua kabisa wameishia la saba

BTW maisha ni fumbo
Lema hakuwa Mbunge zoba ndio maana Dola ilitumika kuiba uchaguzi ili kuwaondoa na kuingiza mazezeta.
 
Lema hakuwa Mbunge zoba ndio maana Dola ilitumika kuiba uchaguzi ili kuwaondoa na kuingiza mazezeta.
chadema wil always be chadema, hakuna namna mnasaidika, anyway acha tupate chama kipya cha upinzan sasa
 
Msaada: NI KIPI HASWA AMBACHO TANZANIA IMEIZIDI KENYA?🤔

1. Kwenye taarifa ya innovation duniani (WIPO) Tanzania ipo nafasi ya 120, wakati Kenya ipo nafasi ya 96.

2. Kwenye Human Development Index, Tanzania ipo nafasi ya 165, Kenya wapo nafasi ya 143.

3. Kwenye taarifa ya Maendeleo ya Vijana Duniani, Kenya ipo nafasi ya 143 wakati Tanzania tupo nafasi ya 166.

4. Kenya ni moja kati ya nchi tatu zinazozalisha tafiti nyingi Africa, Tanzania hata top ten sidhani kama tupo.

5. Chuo chetu bora kwa tafiti na kinachotutoa kimasomaso ni Muhimbili, kipo nafasi ya 87 Africa na nafasi ya 6,594 Duniani; kwenye kundi la Q2, second best kwa lugha nyingine. Wakati huo University of Nairobi ipo nafasi ya 34 Africa, nafasi ya 4,674 Duniani, na kama haitoshi kipo kwenye Q1, yani best quartile (kwa mujibu wa Scimago report 2025).

6 Mpaka kufikia mwaka 2020, Kenya ilikuwa na jumla ya shule za msingi za umma 23,600 zenye wanafunzi 8,600,000 na walimu 212,000.

Tanzania mpaka 2024 tulikuwa na shule za msingi za umma 17,400 zenye wanafunzi 11,000,000 na walimu 176,500.

Yani sisi tuna wanafunzi karibu milioni tatu zaidi ya Kenya, lakini Kenya wana shule za msingi 5,000 zaidi yetu, na karibu walimu 40,000 zaidi yetu. Hawa ndio watu uliowapita?🤔🤔

7. Jumla ya kompyuta kwenye shule za msingi za umma Kenya mpaka 2020 ilikuwa 836,000, Tanzania ukichanganya mpaka smartphones za walimu unapata devices 260,000.

8. Mpaka 2020 Kenya ilikuwa na shule za sekondari za umma 9,400 zenye wanafunzi 3,600,000 wanaofundishwa na walimu 115,000.

Tanzania mpaka mwaka jana tulikuwa na shule za sekondari za umma 4,500 zenye wanafunzi 3,000,000+ na walimu 96,000.

9. Mpaka 2020 kulikuwa na zaidi ya kompyuta 62,000 kwenye shule za sekondari za umma Kenya, Tanzania mpaka kufika mwaka jana tulikuwa na kompyuta devices 16,000 tu kwenye shule zetu zote za sekondari za umma.

10. Asilimia 70% ya labor force ya Kenya ina elimu post secondary, ama degree au masters au PhD.

Asilimia 70% ya labor force ya Tanzania ina elimu ya msingi.

Sasa wazee, hilo eneo ambalo sisi tumewazidi Kenya tunalojisifia nalo kiasi hiki kila kukicha ni lipi?🤔🤔🤔
Tumewazidi sana kwenye uchawa, utekaji, sifa/mapambio and the like.
 
Back
Top Bottom