Tunawasaidia vipi waandishi katika hili

AHAKU

Member
Jan 28, 2010
26
1
Nawasalimu ndugu zangu
Natumai sote au wengi wetu humu tumeona namna matokeo ya kidato cha nne yalivyokuwa mabaya mwaka huu. Kwa kuwa wanahabari nao ni sehemu ya jamii wanaoweza kutusaidia kubadili hali ya mambo katika sekta ya elimu naomba kuuliza ili tutoe michango tunawasaidia vipi waandishi wa habari ili waweze kutoa mchango wao katika hili
Mimi naanza
(1) Wajikite katika kuandika ama kuripoti issue za kiuchunguzi katika sekta ya elimu ili kubaini madudu na kutoa fumbuzi.
(2)
(3)
(4)
Asanteni
 
Back
Top Bottom