kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,143
hahahaha, jamaa hapo juu anasema hawapendi hawa jamaa. vipi walikukamata ukiwa na kosa nini au unatafutwa hawajakukamata...
hongera mvua
naomba lisitoke likwamie hapo hapo halafu linyeshe bonge la mvua
hao jamaa wangelizamisha kabisa
hakuna kushindwa hapa lizameeeeeeeeeeeeeeeeeekwa niaba ya wachukia uhalifu nasema mshindweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hakuna kushindwa hapa lizameeeeeeeeeeeeeeeeee
AU KISA ASUBUHI YALIKUKUTA????UNAMALIZIA HASIRA KWA WENGINE...
![]()
Sio wote wabaya wengine ni wema sana na wana misaada taizo ni ugumu wa maisha tu, Mnawalaumu tu wanamazingira magumu sana ya kazi. ila wakiingia watu wa kazi na mashine zao zinaimba mbona mnawahi sana kuwapigia? ni bora kuacha kuwapigia maana waswahili wana msemo baniani mbaya lakini kiatu chake ni dawaSijawahi kamatwa wala sio mhalifu ila jamaa wanakera sana hao.sidhani kwa mabaya yao kuna mtu anawapenda...nilikua na kesi,nikiwa kama mlalamikaji lakini nilikomaje?mara hela ya vocha mara nipe hela ya mafuta siunajua nipo na viongozi wale ndani ya gari nao wanataka posho.ukiangalia hapo nimeibiwa ndio nawaomba kampani ya kwenda kumchukua mwizi wangu..
Rushwa bongo ndio dili kwao...
Mvua imeleta majanga!
![]()
Mpaka raha! huyu jamaa alobeba ataomba ziendelee kunyeshaAU KISA ASUBUHI YALIKUKUTA????UNAMALIZIA HASIRA KWA WENGINE...
![]()
Mpaka raha! huyu jamaa alobeba ataomba ziendelee kunyesha
Sio wote wabaya wengine ni wema sana na wana misaada taizo ni ugumu wa maisha tu, Mnawalaumu tu wanamazingira magumu sana ya kazi. ila wakiingia watu wa kazi na mashine zao zinaimba mbona mnawahi sana kuwapigia? ni bora kuacha kuwapigia maana waswahili wana msemo baniani mbaya lakini kiatu chake ni dawa