figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,007
- 63,971
Salaam Wakuu,
Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi.
Mawazo yangu nikawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu akif kutokana na mafunzo wanayopewa ya kuua.
Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao?
Hivi ni kweli walikuwa wanalia serious au ni maigizo?
Walioua watoto wetu 29.10.2025 walaaniwe wote.