na kwa jinsi vyuma vilivyokaza hahaMengi tutayaona awamu hii kamanda
Umepiga Ikulu, umeona vibamia na vikorosho vilivyokuja na majibu? utadhani hawatumii vumbi la Congo.Mumepunguza sana ulaji wa chipsi na ile kampeni yenu ya chipsi kyepe mmeiacha na kusababisha mdolo wa bei za viazi huku mikoani.
Hamasishaneni na dada zenu muendelee kula chipsi
Tuliwadharau sana kwa ulaji wa kwepe tusijue nyny n watu mhimu kwenye soko la viazi
Huwa nakupenda ujawahi kosa kututetea sie sukari yenu...! Achana na wanaume wamkoa ata hawajui kuvaa boksa...!Una hamu na wanaume wa dar?
nashangaa umesalenda mapema namna hii. bya the way huku mjini watu hawali sana chipsi siku hizi maana ni gharama vyuma vimekazakivip mada hujaielewa