Tunawalaumu Wasanii kwa kufanya Usanii (sio Wanasiasa) badala ya Kulaumu Wanasiasa (Watunga Sera) kuleta Usanii

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,314
Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa...

Binafsi lawama kwa wasanii tazipeleka pale wakitoa kazi mbovu (sitaisikiliza) na sio kuangalia msimamo wao katika jamii au busara au their political prowess....

Je na sisi tunawaunga mkono hao wasanii ? Ni lini ulishatoa pesa kununua kazi ya msanii au kuingia kwenye Show yake ? Je ni vema kuwashangaa hawa wabangaizaji (usidanganywe na appearance) pale muda wa mavuno mara moja kwa miaka mitano wanapoitwa na kupewa kitu kidogo ili wagange njaa ? Je tuwalaumu wanaochukua kitu kidogo au tuendelee kuwalaumu wanaotoa na kuchezea Kodi zetu ? Je ni kweli tunawa-follow (hata kama tunafanya hivyo ni kwa kupenda kazi zao na sio sura zao) AU hata followers ni wachache hadi wanatumia nguvu kununua follows (Bots) ?

Hawa madogo katika kazi ya Usanii nawapa Heko, ni kipindi pekee ambacho radio zinaweza zikawa na playlist ya Bongo mwanzo mwisho bila kutafuta za ughaibuni; kwa hili wamejitahidi na wanafanya kazi yao ipasavyo... (tofauti na sekta nyingi kwa miaka ya hivi karibuni zinapwaya big time)

Si vema kuwamaliza / kuwaua hivyo tukose pa kukimbilia kupunguza maumivu tunayopewa na hawa watunga Sera - Ukizingatia Usanii wanaofanya wao hauvutii na athari yake ni ya muda mrefu
 
Wanalaumiwa wasanii kwa kuingiza siasa kwenye sanaa
Wasanii pia wanahitaji kula ? Wewe unaweza kuwakubali au kuwakataa hulazimishwi; Mwanasiasa unamlipa kwa Kodi yako; hata akiwa mpinzani kuna Ruzuku hivyo umemuajiri akufanyie kazi - Sio huyu ambaye anakuburudisha tena mara nyingi kwa kutumia piracy (wala sio kununua kazi yake)...

Tuwalaumu kwa kutoa kazi mbovu - hata wakitaka kuingiza siasa kwenye sanaa (kama hakuna soko kazi hizo zitakufa kifo cha kawaida); kama wanaitwa kufanya promo watafanya sababu mwisho wa siku wanatafuta ngawila
 
Kihasibu , wasanii inatakatiwa wasifanye matamasha mpaka wanazeeka.
 
Matamasha ni faida ya nani ? Msanii peke yake na nyie mnakwenda pale kutoa sadaka au ni Quid pro Quo ?

Mbona kama tunataka kuleta Tyranny of Majority ?
 
Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa...

Binafsi lawama kwa wasanii tazipeleka pale wakitoa kazi mbovu (sitaisikiliza) na sio kuangalia msimamo wao katika jamii au busara au their political prowess....

Je na sisi tunawaunga mkono hao wasanii ? Ni lini ulishatoa pesa kununua kazi ya msanii au kuingia kwenye Show yake ? Je ni vema kuwashangaa hawa wabangaizaji (usidanganywe na appearance) pale muda wa mavuno mara moja kwa miaka mitano wanapoitwa na kupewa kitu kidogo ili wagange njaa ? Je tuwalaumu wanaochukua kitu kidogo au tuendelee kuwalaumu wanaotoa na kuchezea Kodi zetu ? Je ni kweli tunawa-follow (hata kama tunafanya hivyo ni kwa kupenda kazi zao na sio sura zao) AU hata followers ni wachache hadi wanatumia nguvu kununua follows (Bots) ?

Hawa madogo katika kazi ya Usanii nawapa Heko, ni kipindi pekee ambacho radio zinaweza zikawa na playlist ya Bongo mwanzo mwisho bila kutafuta za ughaibuni; kwa hili wamejitahidi na wanafanya kazi yao ipasavyo... (tofauti na sekta nyingi kwa miaka ya hivi karibuni zinapwaya big time)

Si vema kuwamaliza / kuwaua hivyo tukose pa kukimbilia kupunguza maumivu tunayopewa na hawa watunga Sera - Ukizingatia Usanii wanaofanya wao hauvutii na athari yake ni ya muda mrefu
Waambie waandae show tutawafurahisha
 
Waambie waandae show tutawafurahisha
Ukiondoa wasanii wachache sana less than 1 percent; faida ya show or lack of huwa ni ma promoter wengi wao wanaambulia peanuts - Hawa jamaa maisha wanayoishi sio necessarily uhalisia (image ni moja ya deception yao) - Wateja wao wengi wakiona umefulia wanaweza kukutosa (hivyo inabidi uishi a lie)
 
Sasa wanachukuwa wasanii wachache na kuwapa kazi za uongozi (wakati watakuwa incompetent); na mbaya zaidi wakati wanafanya huko wasichokiweza ni nani atatengeneza Jingle huku kitaa ?

Yaani wameharibu na kushindwa kutengeneza Sera, sasa hata kwenye burudani zetu wanaharibu - Kama alivyouliza msanii mmoja kitambo; Ni Wapi Tunakwenda
 
Mleta mada nina wasiwasi na your emotional intelligence. Wako na haki ya kuchagua kitu chochote kinachowafaa wala hakuna ubishi, lakini kwanini sisi tukichagua upande wa maslahi yetu iwe big deal? Hii ni cold war na ndio kwanza tunaanza, inabidi kila mtu afunge mkanda
 
Naam mnaweza kuchagua upande na mnachagua upande lakini watu hawaishii hapo wanashinikiza wengine wachague upande kwamba boycott hapa na pale au asipewe matangazo n.k.; Mwisho wa siku nadhani kwa kununua kazi zao (ambazo kwanza wabongo hawanunui ni mwendo wa piracy) ni kuchagua au kutokuchagua.....
 
Sio tu kumekuwa na Kasumba ya Cancel Culture; bali kutegemea baadhi ya watu kuwa malaika na kuwalaumu, badala ya lawama hizo kuzipeleka kwa mashetani tunaowalipa...

Binafsi lawama kwa wasanii tazipeleka pale wakitoa kazi mbovu (sitaisikiliza) na sio kuangalia msimamo wao katika jamii au busara au their political prowess....

Je na sisi tunawaunga mkono hao wasanii ? Ni lini ulishatoa pesa kununua kazi ya msanii au kuingia kwenye Show yake ? Je ni vema kuwashangaa hawa wabangaizaji (usidanganywe na appearance) pale muda wa mavuno mara moja kwa miaka mitano wanapoitwa na kupewa kitu kidogo ili wagange njaa ? Je tuwalaumu wanaochukua kitu kidogo au tuendelee kuwalaumu wanaotoa na kuchezea Kodi zetu ? Je ni kweli tunawa-follow (hata kama tunafanya hivyo ni kwa kupenda kazi zao na sio sura zao) AU hata followers ni wachache hadi wanatumia nguvu kununua follows (Bots) ?

Hawa madogo katika kazi ya Usanii nawapa Heko, ni kipindi pekee ambacho radio zinaweza zikawa na playlist ya Bongo mwanzo mwisho bila kutafuta za ughaibuni; kwa hili wamejitahidi na wanafanya kazi yao ipasavyo... (tofauti na sekta nyingi kwa miaka ya hivi karibuni zinapwaya big time)

Si vema kuwamaliza / kuwaua hivyo tukose pa kukimbilia kupunguza maumivu tunayopewa na hawa watunga Sera - Ukizingatia Usanii wanaofanya wao hauvutii na athari yake ni ya muda mrefu
wewe umeandika sahihi
 
Back
Top Bottom