Kwa Malawi navoijuwa wasivopenda wabongo sidhani kama hizo kesi zina ukweli kabisa
Hao jamaa ni kweli watu Wa KAZI.tena wana STYLE ZOTE,,UTAPELI NA HATA HOUSE ROBBERY...walikuwa south Africa,,Zimbabwe, Botswana,,Namibia
,,,kote huko wamesha Haribu...kwa wanaoishi CAPE TOWN wanajulikana sana HAO ,,,now wanaishi Bongo ,,lakini huwa wanakwenda kufanya UHALIFU,,,na kuja kuendelea na maisha mengine hapa Tanzania,, wote wana vitega uchumi vyao hapa Tanzania,, kama maduka,,stationary nk...USIKATAE MKUU,,,hao ni kweli WAHALIFU...ila kwa Malawi WATATOKA TU...pale hata ukamatwe na GUNIA LA MADAWA YA KULEVYA,,,mahakamani unapigwa FAINI AU KIFUNGO...na hao wana MTANDAO MREFU...lazima watakuwa wapo NJE TU...naona hyo case ni ya mwezi Wa 9/2018.....NAWASILISHA..