Tunawadharau sana wanawake

Tunawadharau sana wanawake

Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
[emoji121]
WANGEKUWEPO WATAALAM WA INTELIJENSIA HUMU
WANGESEMA "UMETUMWA!"
 
Ulichoongea ni Sahihi ila hapo Wapotee kweli ww unawaza kwamba wanawake watapotea Duniani mmmh kazi kweli kweli
 
Huwa siamini kama wanaume wanatudharau halafu sijui ni kwa nini huwa siamini...
Humu mitandaoni naonaga kama wanatupa changamoto ili tuwe strong zaidi, lakini ukiniambia wanatudharau mmmh sina uhakika!!!

Asanteni kwa challenges na kutujali pia
Huamini sababu unatupenda sana na unajua umuhimu wa mwanaume.
 
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Hatuwadharau wanajidharau, ata tukiwapenda hawaoni ni vipofu hawa viumbe kama hawakumsikia Mungu wakatuongoza tukafanya uasi, ndiyo maana Mungu katuagiza tuishi nao kw a akili.

Ila ukumbuke sisi tulishawahi kuishi bila wap according to bible. Je, wao wataweza kuishi bila mijoka yetu???
 
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Hatuwadharau wanajidharau, ata tukiwapenda hawaoni ni vipofu hawa viumbe kama hawakumsikia Mungu wakatuongoza tukafanya uasi, ndiyo maana Mungu katuagiza tuishi nao kw a akili.

Ila ukumbuke sisi tulishawahi kuishi bila wao according to bible. Je, wao wataweza kuishi bila mijoka yetu???
 
kuwa wanawake ni wa kuwadharau tu hakuna namna, samaki mmoja akioza tupa kule waliobaki kaanga kula
 
asante kwa kuwakumbusha

siku tukitoweka nahisi mtabaki kila mtu busy na simu yake
Ukumbuke tulishawahi kuishi bila nyie, according to bible.
Swali:
Je, nyie mnaweza kuishi bila sisi kuwa mijoka yetu??
 
yeah tunaweza kabisa
kwanza kutakua amna kujibanabana
kutakua kama unyamwezini vile
 
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Kumbe na wewe unaongea point nzuri kama hizi.
vizuri sana,mwanamke ana heshima yake
 
Ila unasemekana kiumbe cha kwanza kushushwa duniani ni mwanaume, na alikaa sana peke yake mpaka pale alipoletewa mwanamke kama msaidizi

We will survive bila shaka..

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom