Tunawadharau sana wanawake

Tunawadharau sana wanawake

Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa


mheshimu anaejiheshimu kama hawajiheshimu tutaendelea kutowaheshimu
 
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Na kweli maana hawa viumbe wanavojishughulisha kwa ajili yetu hadi raha!!!
 
WAFARIJI WETU ITAKUWA PUNYETO

maana ndani ya ssekunde 56 ushamaliza na mawazo juu ya wanawake yanakuwa yasshaisha
Na baada ya miaka kadhaa unakuwa functionless due to unnatural ways you used to torture your manhood!!! Then what?!

I love you mama. And ladies, hata kama kuna wakati huwa mnanichanganya, to the point of total confusion, [emoji27] I can not imagine my world without you. [emoji7]
 
Eco system bujibuji, nao pia hali kadhalika. Dunia bila wanawake haiwezekani wala dunia bila wanamme haiwezekani. Ipo kwa sababu sote tupo
 
Tukipotea sisi watalalamika sana hawa watu. Kuna ile nchi wanamwimba na kumlilia Rais awasamehe wafungwa wanaume ambao watakuwa tayari kuoa
 
Amina.

Na kweli wanawake wabaki wasije wakapotea maana sijui tutaenda wapi.
Amna bana cku hz c mna bashiteana so hata tukipoteana mshapata option...! Kabisaa! Tuhamie hata jupiter nackia panafaa kuishi
 
Back
Top Bottom