Tunawabeza waislamu lakini kiukweli wapo sahihi

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,324
Reaction score
6,657
Kuhusu suala la kuoa wake zaidi ya mmoja waislamu wapo sahihi,sababu mwanamke ataingia siku zake,atajifungua Tena unakuta kajifungua kwa operation hapo hutakiwi kufanya naye mapenzi kwa miezi sita,au akiwa mjamzito kuna wanawake wakiwa wajawazito huwa wanakuwa wagonjwa kuanzia asubuhi mpaka jioni ni kula udongo na kutapika,tuongee tu ukweli hakuna anayeweza kukaa na mwanamke mmoja,najua wenye Imani ya kuoa mke mmoja mtanitukana lakini ukweli mnaujua wenyewe moyoni, Pablo!!! a.k.a mwanaume wa mkoani
 
Maumbile ya mwanadamu anayajua muumbaji wa binadam.
 
Inategemea pia kama umebase sana kwenye agano jipya au la za zamani
 
Kuhusu suala la kuoa wake zaidi ya mmoja waislamu wapo sahihi,sababu mwanamke ataingia siku zake,atajifungua Tena unakuta kajifungua kwa operation hapo hutakiwi kufanya naye mapenzi kwa miezi sita,au akiwa mjamzito kuna wanawake wakiwa wajawazito huwa wanakuwa wagonjwa kuanzia asubuhi mpaka jioni ni kula udongo na kutapika,tuongee tu ukweli hakuna anayeweza kukaa na mwanamke mmoja,najua wenye Imani ya kuoa mke mmoja mtanitukana lakini ukweli mnaujua wenyewe moyoni, Pablo!!! a.k.a mwanaume wa mkoani
umenena kikubwa..
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mzee unaweza kukaa miezi mitatu bila kugonga demu nlipokua form 5/6mpk namaliza sijagegeda na nikafaulu vizuri sema nilijiweka bize sana afu kwenda ibaadani mpk mikesha kwa iyo nikajikuta nimemaliza 2 yrs mkuu
 
Usirudie huo mchezo utakuja upate tezi dume
 
Back
Top Bottom