Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

Havijapimwa mkuu....unapatiwa tu hati ya serikali za mitaa..
 
ahsante sana kwa uaminifu wako wa kutoa taarifa za ukweli...biashara inahitaji watu wa aina yako mkuu...hongera sana.

Nashukuru mkuu...siyo busara kuwa mdanganyifu kwenye biashara...na isitoshe maeneo mengi sana ya Dar es Salaam viwanja vinavyouzwa havijapimwa.
 
Eneo:chanika
bei: 1,500,000
size:21x15 na 35x15
offer:ukinunua viwili utauziwa kwa tsh.1,350,000@ hivyo itakuwa 2,700,000 badala ya 3,000,000

eneo:mbezi makabe/msumi
bei:4,000,000
size:20x20

unaweza kulipa kwa installment(nusu mara mbili)

karibuni nyote!

Contacts: 0713565999/0767565999
 
vingine nauza vipo nzega ni mwendo wa dakika tatu au tano kwa gari toka nzega mjini.bei kuanzia milion moja laki nne.ni pm. vipo vikubwa vya bei tofauti tofauti kutegemea hitaji lako.
 
10623515_10153403213541959_4125107466197744015_o.jpg
 
Back
Top Bottom