Nyumba kubwa inahitajika Dar es salaam/ maeneo ya jirani Kama Bagamoyo na Zanzibar

Jun 5, 2018
1
0
Wakuu habari zenu,
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nahitaji nyumba kubwa kwaajiri ya kufanya hostel ya backpackers maeneo ya Dar es salaam ; Kigamboni, Mikochen, kinondoni na Mbezi yote. Nyumba iwe kubwa na vyumba vya kutosha iwe na space kama itakua na vitu km swimming pool itapendeza zaidi. Maintenance nyingine ntafanya mwenyewe kutokana na mahitaji.


Ikipatikana maeneo ya Bagamoyo au Zanzibar itapendeza pia. Bado Sina uhakika Kama kukodi au kununua kipi kitakua na tija zaidi.
Naangalia offer zote za kupanga na kununua.
Wakuu karibuni kunishauri kuhusu hili wazo langu is it a worthy idea to invest in a real estate ?
Bajeti yangu ni yakawaida sana sio ya million 300 wala 200
Wakuu ata kiwanja kikipatikana karibu na bahari pia tunaweza kuzungumza.
Thanks in advance.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom