MULTIFUNCTION GRINDER
*Zinatumia Umeme.
*Zimeundwa kwa chuma tupu.
*Zina nguvu sana.
*Zina mota imara na zenye kasi zaidi.
*Hazishiki kutu.
*Zinafaa kwa matumizi ya nyumbani na biashara.
*Zinafanya kazi zifuatazo:-
(1)zinasaga karanga kuwa siagi 'PEANUT BUTTER'
(2)zinasaga karanga kuwa unga .
(3)zinasaga vitu vikavu.
(4)zinasaga viungo ikiwemo mdarasini. (5)Zinasaga mahindi.
(6)zina uwezo wa kusaga unga wa lishe na mbegu za boga.
(7)zinasaga kunde za bagia.
(8)zinasaga tangawizi kavu na mbichi.
(9)zinasaga vitunguu saumu.
(10)Inasaga kahawa na buni ya kahaawa.
(11)Zinasaga mitishamba kwa ajili ya dawa.
Saizi(3kg) ni Tsh 400,000
Saizi(2kg) ni Tsh 350,000
Saizi(1kg) ni Tsh 285,000
Saizi(0.5kg) ni Tsh 245,000
Tupigie Simu / WhatsApp:
+255684908992
Email:
ejhouseholds@outlook.com
Follow us on Facebook@EJHouseholds
Instagram@ejhouseholds
Tupo Kariakoo ,Mtaa wa Muheza karibu na Fairasa Inn/Hotel
Delivery Available!!
.
#ej #ejutensils #ejtools #ejappliance