Tunauza vitu vya aina mbalimbali

Tunauza vitu vya aina mbalimbali

Dah kweli Android kavuruga soko...Haya makitu miaka 10 nyuma ulikuwa huwezi uziwa ikiwa na hizo specs kwa chini ya laki 9! Laptop za bei chee zilikuwa 650k ila leo hii tunabembelezwa kwa 250K laptop imekuwa replace by 70% kimatumizi na ujio wa smartphones!
Hakika mkuu. Ndio faida za technology hizo.
Saizi laptop zinafanya kazi chache sana ukilinganisha na miaka kadhaa hapo nyuma
 
Hakika mkuu. Ndio faida za technology hizo.
Saizi laptop zinafanya kazi chache sana ukilinganisha na miaka kadhaa hapo nyuma
Yani labda kwa zile strong graphics ila kwa matumizi ya kawaida kama word documenting na pdf, emails simu inamaliza.
 
Tafuta pesa nina Carbon X, Core i 7, SSD 256, RAM 16 GB.

Nimeichoka tu, sijapenda charge imeanza kusumbua hazidi saa moja na nusu.. huwa napenda inayo kaa zaidi ya masaa matatu
nimejaribu kuigoogle iko vizuri,sema nami kwa ninacho kifanya nahitaji battery nzuri.
unauza bei gani?
 
Back
Top Bottom