Inategemea na Kampuni lakini ni Average ni Tsh.300,000Sorry mdau kwani jipya bei gani?
Nimenunua juzi la lita 2000 kwa Tsh laki 3 na elfu 20 tu Simtank.Sorry mdau kwani jipya bei gani?
kitu used unauza Bei zaidi ya jipya,khaaaa


Kula elfu 70 mdau
Lita 1000 wastani 250lNimenunua juzi la lita 2000 kwa Tsh laki 3 na elfu 20 tu Simtank.